Dini ni utaratibu/mfumo wa maisha ya mtu anayoishi kila siku.ila kuna aina 2 kuu za diniNaomba nieleweshe maana ya dini?
ukimkuta muislam huyo hajitambuiKwa hiyo uislam unahamasisha watu kulala na kwenda baa asubuhi!
Kwanini ungewauliza kwanza Waislamu wanao funga safari hadi Kibaha kwenda kumwona Nabii Mpya wa Kiislamu.Halafu unajihesabu umesoma? kama akili hizi basi kweli kumuona Mchungaji laki 5 kidogo sana, aweke milioni 1
Sisi ndio wewe hapo! Unawaambia watu wakalale au waende bar asubuhi hii!ukimkuta muislam huyo hajitambui
hujaelewaSisi ndio wewe hapo! Unawaambia watu wakalale au waende bar asubuhi hii!
Huku Rwanda walikua wanampigania Yesu? Walikua wanampigania Mungu? Walikua wanapigania ukristo?? We jamaa zero brain kabisaVatican yashutumiwa kuhusika mauaji ya kimbari Rwanda
Elizabeth Shoo04.02.20154 Februari 2015
Hakimu mmoja wa mahakama maalumu ya kusimamia kesi ya mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994 ameulaumu uongozi wa kanisa katoliki kwa kuwalinda washukiwa waliohusika ambao ni viongozi wa dini.
Allah ni Mwarabu kwakuwa anasikia Lugha ya Kiarabu tu.hakuna dini ya Mwarabu. dini ya binaadam wote wenye akili. asie na akili anaabudu jiwe kama wewe
Dini ya upigajihujalazimishwa. hapa unapewa umuhimu wa kuwa muislam na kaucha huko uliko. kama huamini endelea kukumbatia giza lako
mmmm? inawekezakana. maana baadhi ya waislam hawajitambui. dini yao hawataki kusoma , wapo bizz na mpira na siasa.Kwanini ungewauliza kwanza Waislamu wanao funga safari hadi Kibaha kwenda kumwona Nabii Mpya wa Kiislamu.
Nabii Elyasi ?
Bora Niendelee na upagani. Wangu kuliko kuwa muislamsoma biblia agano la kale utajua
Hoja ambayo huwez jibu chochote ya kazi gani? Hata kupekua tu mtandaon pamekushindamatusi ya nini? wakiristo mbona mahasira sana ?Jenga hoja usilete matusi. nani mjinga anaelala baa akiwa na Pombe kichwani na anaelala kwake?
Jifunze kiarabu halafu mwambie asikuue akubalishe mpaka dunia isheAllah ni Mwarabu kwakuwa anasikia Lugha ya Kiarabu tu.
Ni Mungu wa Waarabu tu na wanasikilizana vizuri.
umeliza nini? kikubwa?Hoja ambayo huwez jibu chochote ya kazi gani? Hata kupekua tu mtandaon pamekushinda
Sie hatumpiganii Mungu, anajiweza , anapambana mwenyewe na anatupambania pia
Dini ilianza kuwepo kabla ya mtu kuwepo na unahitajika ujue kabla ya wew na mimi kuja Duniani kuna viumbe tayar walikuwepoKipi kilianza kuja duniani kati ya watu na dini?
Unahisi jambo gani katika Quran halijatolewa ufumbuzi mana unaambiwa Quran haikuacha kuelezea jambo lolote lenye madhara na faida katika maisha ya watuNdio mana nimekwambia ni kitabu ambacho kimeandikwa kimkakati na self defensive ilikua ya hali ya juu kwa maana waandishi walijitahidi kutokutoa mianya ya kukosolewa na kwenye yale mambo yote ambayo walishindwa kuyatolea ufumbuzi waliyaweka kwenye kipengele cha kufuru kwamba mtu asivuke zaidi ya hapo akivuka hapo lazima aadhibiwe ikiwezekana apigiwe takbiriiiiiii.
innalillaih wainnah raajiunBora Niendelee na upagani. Wangu kuliko kuwa muislam
jambo halijatolewa ufafanuzi kwa akili yangu kukujua mimi wewe unaishi wapi kwa sasa?Dini ilianza kuwepo kabla ya mtu kuwepo na unahitajika ujue kabla ya wew na mimi kuja Duniani kuna viumbe tayar walikuwepo
Unahisi jambo gani katika Quran halijatolewa ufumbuzi mana unaambiwa Quran haikuacha kuelezea jambo lolote lenye madhara na faida katika maisha ya watu
Acha na vita vya dunia jibu hizo aya za kuruani za kuwashughulikiwa wasio waislamVita vya 1 na 2 vya dunia waliuaana wakiristo wala waislam hawahusiki
hupataki hapo?kanisa lako lilfyekwa nini? lete hojaAcha na vita vya dunia jibu hizo aya za kuruani za kuwashughulikiwa wasio waislam
Sijifunzi Kiarabu nataka niwe Nina mdhihaki Allah kwa Kinyaturu.Jifunze kiarabu halafu mwambie asikuue akubalishe mpaka dunia ishe
Kila mtu alipo anaona ni pa umuhimu.hujalazimishwa. hapa unapewa umuhimu wa kuwa muislam na kaucha huko uliko. kama huamini endelea kukumbatia giza lako