Ujumbe huu uwafikie Askari wa JWTZ

Tupendane tuu na tuipende nchi yetu kuliko chochote mkuu. Umesema mengi ila sijaelewa kabisa . Mimi ni mwananchi na hilo ni la Wananchi
 
Dogooo, siyo kila nguo inayofanana ya jeshi, ni nyaraka ya serikali. Ila nyie hata material hamuangalii,hata ushonwaji,ndo hivo
Fuata maelekezo bila shuruti.
Mpaka tuje tubaini ndio yenyewe au siyo yenyewe , utakua umeshachakaa mashavu, mbavu, mdomo umevimba na magoti vibaya sana.

That's not an excuse.
Epuka kuvaa gwanda za jeshi full stop.
 
Wakuu nendeni mkajifunze martial arts(boxing,karate,tae_kwondo,kravamaga nk)ili msikubali kuonewa na hao masojaa
 
Nakucheka Kwa dharau... Brain 🧠🀣🀣 your eyes πŸ‘οΈ

NB.
Kitu pekee unacho nizid wewe kima ni ujinga, umaskini na maradhi πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
πŸ–•πŸΏπŸ–•πŸΏ
 
Usihukumu bila kutoa vielelezo na huenda Wewe ndio chamzo
 
Another Keyboard warrior πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mimi siyo keyboard warrior,hakyaMungu nakuzingua,nipo mtaani unakuja unasema ujaribu kunionea,aisee nakuzingua.Wngine sisi tuna falsafa ya ugomvi ukianzishwa usiishe haraka,yaani ratiba naivunja kabisa ili nishughulike na mhusika.Unajua baadhi ya watu akizinguliwa,akipigwa kibao au mtama,wanaogopa kuriakti eti sijui ana hofu atauawa.... aisee.... mi unaanzisha mtiti,narikti in accordance,najua vurugu hiyo nimeshaianzisha na mwanajeshi hawezi kunibeba eti anipeleke kambini,kwahiyo ntazinguana naye kwa kigezo cha mimi kujilinda.Aisee... ije itokee tu.Dawa ya mtu wa hivyo,ukishika chochote rusha... yaani hakuna kusita,kusita kwako ndo kumpa maujiko,yaani rusha kwelikweli,yawe mapigano mchanganyiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…