Ujumbe huu uwafikie Askari wa JWTZ

Ujumbe huu uwafikie Askari wa JWTZ

Mimi siyo keyboard warrior,hakyaMungu nakuzingua,nipo mtaani unakuja unasema ujaribu kunionea,aisee nakuzingua.Wngine sisi tuna falsafa ya ugomvi ukianzishwa usiishe haraka,yaani ratiba naivunja kabisa ili nishughulike na mhusika.Unajua baadhi ya watu akizinguliwa,akipigwa kibao au mtama,wanaogopa kuriakti eti sijui ana hofu atauawa.... aisee.... mi unaanzisha mtiti,narikti in accordance,najua vurugu hiyo nimeshaianzisha na mwanajeshi hawezi kunibeba eti anipeleke kambini,kwahiyo ntazinguana naye kwa kigezo cha mimi kujilinda.Aisee... ije itokee tu.Dawa ya mtu wa hivyo,ukishika chochote rusha... yaani hakuna kusita,kusita kwako ndo kumpa maujiko,yaani rusha kwelikweli,yawe mapigano mchanganyiko.
Unafikiri man 2 man wanaziweza hawa...hawa washazoea kuitana
Tu

Ova
 
😅😅😅
 
Fuata maelekezo bila shuruti.
Mpaka tuje tubaini ndio yenyewe au siyo yenyewe , utakua umeshachakaa mashavu, mbavu, mdomo umevimba na magoti vibaya sana.

That's not an excuse.
Epuka kuvaa gwanda za jeshi full stop.
Acha ushamba jombaa vipi kama baba ako akikutwa nayo ukasikia kachakaa utajisikiaje?
Ndo mana mkistaafu mnatia huruma kitaa nasisi hakuna kitu tunawasaidia tunawachora tu mwanajeshi mzima unachoma mishkaki pumbavu??
 
zingatia maelekezo tafadhali, itskusaidia.
Acha ushamba jombaa vipi kama baba ako akikutwa nayo ukasikia kachakaa utajisikiaje?
Ndo mana mkistaafu mnatia huruma kitaa nasisi hakuna kitu tunawasaidia tunawachora tu mwanajeshi mzima unachoma mishkaki pumbavu??
 
Kwenye njia hii yakuja kutoka bonden darajan ukitokeaa kawe ,walinitembezaga km bataa mbelee ya Dem wangu aiseé [emoji23],wakamwacha Dem wangu asitembee km Bata kisa alisisema ana mimba .
Basi wakamwambia akae nyuma yangu ni kizingua kutembea km Bata anipige tekee aiseee hata ckujuaga kosa nn mpk Leo [emoji23][emoji23][emoji23]

Nikajiuliza au walitaka tu kunioshea mbele ya Dem maaana nilioji kosa nn ,nikaambiwa tu chini [emoji23] daaaa..
 
Mambo ya hovyo hovyo tu. Ila nimefurahi Sana kuona ile taarifa ya GENTAMYCINE
 
Wasamehe bure wengi wao ni zero brain hivyo wanaamini nguvu ndiyo kila kitu.

Hawa jamaa wanapenda sana kuabudiwa sio wote ila wale waliotokea kule vijijini kwetu wakirudi aiseee.
Ishu wala sio kutokea kijijini ishu kubwa nadhani ni elimu ,mimi naishi jirani na kambi ni ngumu kukuta askari wa kuanzia nyota moja ambao tunawaita maafisa kumkuta mtaani na ishu za ukosefu wa nidhamu ila hawa wa kuanzia private ni shida
 
Upo sahihi mkuu.
Dunia ya leo imestarabika sana
 
Back
Top Bottom