Ujumbe huu wa Dkt Tulia una maana gani na umemlenga nani?

Ujumbe huu wa Dkt Tulia una maana gani na umemlenga nani?

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti
Kuna kugusa kwa aina nyingi hata kutekwa kwa kibao na kuuawa nako kuliwagusa watanzania wengi,kujaza kura fake kwenye masanduku kura kuliko iwezesha CCM kushinda kwa asilimia 99 nako kuliwagusa watanzania wengi kwa kuporwa haki yao ya kuongozwa na viongozi waliowachagua.
 
Back
Top Bottom