Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Umeuliza swali,unajibiwa unaanza kuwa mkali.😂Kwani kuna anayefikiria kuwa ataishi milele hapa Duniani?Mimi naamini kila mtu anahamu kuwa mtu yeyote aliyezaliwa na Mwanamke siku zake za kuishi hapa Duniani si nyingi.nazo zimejaa taabu na shida