Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
Ahsante...kuna mtu anajua, ataniagizia.Agiza unachotaka nakuja kulipa
Hahaha sasa tatzo mnataka mkimfungulia mtu uzi mnategemea kupokelewa positively,inatakiwa wakati unafungua uzi ujipange kupokea chochoteAsee mi sishindwi nikiona mods wanazingua, hapo naweza hata ku uedit uzi nandika mambo ya JPM .
Siwez kosa solutuon hapo.[emoji23]
Eeh jaman hata efforts za kufungua uzi ziangaliwe kabla ya kutumwaga hadharani.
nashukur mara ya kwanza umenisalimia wap jiranNakusalimu kwa Mara ya pili
Rudi nyuma kidogo mkuu,utamuona.Huyo haja ametokea au bado?
HahahahHahaha sasa tatzo mnataka mkimfungulia mtu uzi mnategemea kupokelewa positively,inatakiwa wakati unafungua uzi ujipange kupokea chochote
Nahiyo ndo point yangu Mkuu ..Ujue JF humu nijamii ndogo , ndomaana ukimtaja mtu km Mshana JR anajulikana nakila mtu ., sasa km ile siku Mshana alivyomuandikia Demiss ,alafu demiss amkatae ingekuwaje???Jamaa kashauri vzuri, una mtia moyo hapa hadharani.
Halaf una mfuata PM unamuaibisha shetani huko kimya kimya then una move on.
Mi nikikataliwa live ntawaomba mods waufute uzi.
Mi nahisi atakua ameamua tu kupokea jibu lolote litakalokujaKuna kaanjia ka kamoja tu yaaan kanaitwa " katisha tamaa huku ukimlindia utu machon kwawatu".
Ivi Jolie ,lets tali serious ,uyu bwana tuseme labda nikweli kabisaaaa alikua amempenda huyu mwanadada ,,,unahisi saizi anajisikiaje ??? Na nimbele zawatu??
Wenda kwakuhisi kujibiwa ivo ndomaana amekuja na ID hiyo....nan anajua??? .
Naaaam....there you're.Hahaha sasa tatzo mnataka mkimfungulia mtu uzi mnategemea kupokelewa positively,inatakiwa wakati unafungua uzi ujipange kupokea chochote
Hahaha em naomba mfano wa jibu la kukataliwa kijanjaHahahah
Ni kweli kuna faida na hasara.
Ila hata kama kunikataa basi nikatae ki janja kdogo.[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nahiyo ndo point yangu Mkuu ..Ujue JF humu nijamii ndogo , ndomaana ukimtaja mtu km Mshana JR anajulikana nakila mtu ., sasa km ile siku Mshana alivyomuandikia Demiss ,alafu demiss amkatae ingekuwaje???
Kwaivo niukweli kua mpaka Mshana anamwandikia Demiss NISABABU TU ALIKUA KESHAJILIZISHA NAUSIKUTE HATA MZIGO ALIKUA KESHAKULA.
jasho linakutoka kama uko kwenye mainjin ya meli unachochea makaa ya maweHapo kwenye kufuta uzi,mods wako bize hahaha na uzi wako unazid kutembea hihihihiiiii kama nakuona mikono inavotoka jasho[emoji23]
Basi kumbe ushauri wa kutiwa moyo hadharan na kumuabisha shetani pm ndo mzuri
Haswaaa mkuuu umenielewa vilivyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hiyo hapo wanakuwa wanacheza na scripts tuu. Ila matukio yote yashafanyika.
Ila kwa Jf inaonekana its safe to do that.
Ha ha ha ha ha...mambo ni motooooo...!nashukur mara ya kwanza umenisalimia wap jiran
Labda nani anajuaMi nahisi atakua ameamua tu kupokea jibu lolote litakalokuja
[emoji126] [emoji126]Ha ha ha ha ha...mambo ni motooooo...!
Hahaha sasa hii style ya kumtia mtu moyo ikifanyika kwa kila uzi unaofunguliwa si ndo hamkawii kuanza kumponda dada wa watu kwamb ni malaya jamanNahiyo ndo point yangu Mkuu ..Ujue JF humu nijamii ndogo , ndomaana ukimtaja mtu km Mshana JR anajulikana nakila mtu ., sasa km ile siku Mshana alivyomuandikia Demiss ,alafu demiss amkatae ingekuwaje???
Kwaivo niukweli kua mpaka Mshana anamwandikia Demiss NISABABU TU ALIKUA KESHAJILIZISHA NAUSIKUTE HATA MZIGO ALIKUA KESHAKULA.
Yaaan ilimradi tafuraniAhahahahaha waaaaai hahaha nimecheka hatari sana hahaha kwamba "Ni aina gani ya kilimi cha maembe naweza vuna ndani ya miezi mitatu[emoji23] [emoji23]