Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaa. Uzuri inakuwaga ni kweli tumewahiwa.
Pia niseme hakuna mwanamke asiyependa hii kitu hasa ile inayojileta yenyewe. [emoji12] Yaani ningekuwa sina mtu ningeshamzukia huko PM tuyajenge ili nipate ndoa Hajar wa watu. Lol
Hahahaaa. Nimeshapita Shoga angu. Nimekusikia ujue sababu sio kwa kicheko hiko rafiki.Hahahahahahahaha...... Natamani kicheko hiki kisikike kwa sauti many hajar pita Mitaa hii
Hahahahaaaa. Kujulikana na nani?Unazidi kumuumiza...kama anajulikana.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Ahsante kwa majibu mazuri Dada yangu
Penye wengi lazima pawepo na mengi piaAisee hapa panatendwa haki...though some people wanaipotezea heshima yake.
Hahahahaaaaaa. Hahahaaaaaaa. Hahahaaaaaaaaaaaaaa. Zeshchriss hapo ndio kile kicheko chako kimezidi kuongezeka. Lol.Hahahahahahahahaha just hahahahahaha
Haya ndo niliyasema siku moja , kumfungulia uzi mwanamke wa JF alafu huna uhakika na relationship status yake ni hatare kwa Afya yako ...maana ukishajibiwaNimekosa cha kuandika mikononyuma na hujakosea ulivyoviandika kuhusu Hajar ila sasa ameshawahiwa tayari.
Hajar hana cha kukupa zaidi ya kukuombea nawe uje kupata mke mwenye sifa kama za Hajar nina imani hutojuta kuwa ndani ya ndoa maishani mwako.
Ahsante sana. [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ukija na majibu nitag mdogo wangu teh.Hii ni Research Proposal ngoja niingie chimbo
Pole sana kwa kucheka, pata kinywaji hapo ulipo bill nitumie mimiHahahahahahahahaha just hahahahahaha
Me mzimaaaa nawaona tu watu hapa wanavyobeti I'd za watuHahahaaa. Nimeshapita Shoga angu. Nimekusikia ujue sababu sio kwa kicheko hiko rafiki.
Mzima weye?
Ndo namm nmecheka sana jolie ..... UtajibiwaHahaha dada Hajar hii comment yako imenifanya nimkumbuke Vladi
Tayari bili imeletwa unadaiwa sh mbili na senti tanoPole sana kwa kucheka, pata kinywaji hapo ulipo bill nitumie mimi
Jolie humu ndan watu wananjunjana sanaaaa tu ila nikimya kimyaaaa PM ukoo.Hahaha dada Hajar hii comment yako imenifanya nimkumbuke Vladi
Hahaa bas ukijibiwa ivo unaanza kufungua nyuzi nyingi nyingi ili ule uzi upoteeHaya ndo niliyasema siku moja , kumfungulia uzi mwanamke wa JF alafu huna uhakika na relationship status yake ni hatare kwa Afya yako ...maana ukishajibiwa
"" waoooooo sina cha kusema asante kwa kunipenda ila nmeshawahiwa""
Mzee baba kama huna moyo wa chuma utapandwa na hasira utaman kufuta post lkn usiweze .[emoji23][emoji23].
Wewe hajari umezengua , ungemfata PM tu na kumwambia nina Mtu tayari ...sio km hivi hadharan , nia njema haijawah kwa jibu baya , likiwa baya basi huwa lasauti ya chini namtu yoyote asisikie
Sasa mfano ,uyo alokuwah najua hatokua mumeo , sasa ikitokea amekukacha , sindo utamkumbuka huyu jamaa , na kujikuta ulimkatalia mbele ya watu??? . Sio vzuri.
Wanaume bado nawakumbusha jamaa zangu.
Kumfungulia uzi mwanamke humu kama hujakua naye uhakika nimatumizi mabaya ya MB.[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....wacha niendelee kushudia maajabu ya JF na wanaJF[emoji23] [emoji23]
" Asante jomooooni ila nmeshawahiwaaa my mukaka yanguuu mudhuri " .
Aki na wanawake wanavyongea kwa kuvuta manenooo fulu mideko ,unaweza hisi haja kubwa imekubana gafla.
Sema nn mtoa mada,, hongera kwa ujasiri wako , kawaiwa lkn sasa anajua kuna mahali anapendwa . Alichokosea nihili jibu
For sure...kila mtu kakulia kwenye misingi ya familia yake...lazima tuwe tofauti.Penye wengi lazima pawepo na mengi pia
Hapa ni mwendo wa kupika Data tu hamna kupoteza muda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ukija na majibu nitag mdogo wangu teh.
Hahahaaaa. Akimaliza unachomnunulia na mie namuongeza.Pole sana kwa kucheka, pata kinywaji hapo ulipo bill nitumie mimi