Ujumbe kwa Hajar

Ujumbe kwa Hajar

Nimekosa cha kuandika mikononyuma na hujakosea ulivyoviandika kuhusu Hajar ila sasa ameshawahiwa tayari.

Hajar hana cha kukupa zaidi ya kukuombea nawe uje kupata mke mwenye sifa kama za Hajar nina imani hutojuta kuwa ndani ya ndoa maishani mwako.

Ahsante sana. [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Haya ndo niliyasema siku moja , kumfungulia uzi mwanamke wa JF alafu huna uhakika na relationship status yake ni hatare kwa Afya yako ...maana ukishajibiwa

"" waoooooo sina cha kusema asante kwa kunipenda ila nmeshawahiwa""

Mzee baba kama huna moyo wa chuma utapandwa na hasira utaman kufuta post lkn usiweze .[emoji23][emoji23].

Wewe hajari umezengua , ungemfata PM tu na kumwambia nina Mtu tayari ...sio km hivi hadharan , nia njema haijibiwi kwa jibu baya , likiwa baya basi huwa lasauti ya chini namtu yoyote asisikie

Sasa mfano ,uyo alokuwah najua hatokua mumeo , sasa ikitokea amekukacha , sindo utamkumbuka huyu jamaa , na kujikuta ulimkatalia mbele ya watu??? . Sio vzuri.

Wanaume bado nawakumbusha jamaa zangu.

Kumfungulia uzi mwanamke humu kama hujakua naye uhakika nimatumizi mabaya ya MB.[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....wacha niendelee kushudia maajabu ya JF na wanaJF[emoji23] [emoji23]

" Asante jomooooni ila nmeshawahiwaaa my mukaka yanguuu mudhuri " .

Aki na wanawake wanavyongea kwa kuvuta manenooo fulu mideko ,unaweza hisi haja kubwa imekubana gafla.

Sema nn mtoa mada,, hongera kwa ujasiri wako , kawaiwa lkn sasa anajua kuna mahali anapendwa . Alichokosea nihili jibu
 
Hahaha dada Hajar hii comment yako imenifanya nimkumbuke Vladi
Ndo namm nmecheka sana jolie ..... Utajibiwa

***Heheheheheh jooooomon my kaka thank youuuu kwa kuniloooooove ila nmeshawahiwaaaaaaaa utampata zaidi yamm***

Joliee inauma ujueee ,alafu kukataliwa mbele ya watu huhuhuhj[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Haya ndo niliyasema siku moja , kumfungulia uzi mwanamke wa JF alafu huna uhakika na relationship status yake ni hatare kwa Afya yako ...maana ukishajibiwa

"" waoooooo sina cha kusema asante kwa kunipenda ila nmeshawahiwa""

Mzee baba kama huna moyo wa chuma utapandwa na hasira utaman kufuta post lkn usiweze .[emoji23][emoji23].

Wewe hajari umezengua , ungemfata PM tu na kumwambia nina Mtu tayari ...sio km hivi hadharan , nia njema haijawah kwa jibu baya , likiwa baya basi huwa lasauti ya chini namtu yoyote asisikie

Sasa mfano ,uyo alokuwah najua hatokua mumeo , sasa ikitokea amekukacha , sindo utamkumbuka huyu jamaa , na kujikuta ulimkatalia mbele ya watu??? . Sio vzuri.

Wanaume bado nawakumbusha jamaa zangu.

Kumfungulia uzi mwanamke humu kama hujakua naye uhakika nimatumizi mabaya ya MB.[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....wacha niendelee kushudia maajabu ya JF na wanaJF[emoji23] [emoji23]

" Asante jomooooni ila nmeshawahiwaaa my mukaka yanguuu mudhuri " .

Aki na wanawake wanavyongea kwa kuvuta manenooo fulu mideko ,unaweza hisi haja kubwa imekubana gafla.

Sema nn mtoa mada,, hongera kwa ujasiri wako , kawaiwa lkn sasa anajua kuna mahali anapendwa . Alichokosea nihili jibu
Hahaa bas ukijibiwa ivo unaanza kufungua nyuzi nyingi nyingi ili ule uzi upotee
 
Back
Top Bottom