Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
-
- #41
Kweli nyie mliosoma shule za kata mna matatizo.sasa historia ya wahindi mbongo ataijuaje?
ni kama mnamuonea.
Alafu yeye anasoma alichoandikiwa.kosa Lake lipo wapi
Imagine mtu kama Diva au hata Kitenge anaejifanya mjuaji waulize vi swali vidogo vya msingi uone majibu. Nilicheka siku moja niliona kitenge akiongea english ilikua ni Zee, Zee, zee 😂 😂 😂 😂 bongo hamna waandishi wa habari bali kuna vilaza club.. ie Zembwela😂😂😂😂Hakika
Sasa mkurugenzi wa mawasiliano wa ikulu kweli??? hivi pale kuna shule kweli ??yule ni Maimuna.kasoma vyuo vya uchochoroni pale London, akabahatika BBC Swahili kwa kua anaongea kiswahili, basi akarushiwa taulo la ikulu hivyo tu. Huyo ni zero mwingine basi tu nchi yenyewe hii ya wagagagigikoko bora liende.Usiwaonee ITV hiyo ni kauli imenukuliwa kutoka kwenye kinywa Cha Rais nao wameireport hivyohivyo na sio wao pekee bali
vyombo vyote
kwa hiyo wa kulaumiwa hapo ni
Rais na kurugenzi ya mawasiliano IKULU maana wao ndio wameiwasilisha habari kwa
vyombo husika
Nenda katangaze weweKweli nyie mliosoma shule za kata mna matatizo.
World current civics tumejifunza tukiwa Form II miaka hiyo, na bado tunakumbuka.
Mahatma Gandhi alijulikana sana kwa passive resistance kwa wakoloni, Waingereza na alifariki 1948.
Indira Gandhi ndiye alikuwa rafiki ya Mwalimu.
Inawezekana hata yeye hajui, si ajabu.Katika taarifa ya habari saa saba mchana huu, msoma taarifa ya habari(dada) alisema Tanzania ina nia ya kuendeleza uhusiano kati ya Tanzania na India ulioanzishwa na Baba wa Taifa na waziri Mkuu wa India Mahatma Gandhi...!!! Hili lilirudiwa mara mbili.
Kwa kushangaa nikijua kuwa Mahatma Gandhi alikuwa mmoja wa waanzilishi wa Taifa la India( akishirikiana na kina Jawaharlal Nehru), Mahatma alifariki kitambo, 1948, na hakuwahi kuonana na Mwalimu.
Nikachoka, nikajua ITV/Radio One wameajiri mazuzu!
Joyce Mhavile, ajirini basi vijana waliopasi na wana uelewa wa kihistoria na mambo ya dunia.
Mahatma Gandhi pia hakuwahi kuwa Waziri Mkuu wa India yeye alikuwa Mpigania uhuru wa Taifa hilo na ndiyo baba wa Taifa la india. Aliuawa kwa kupgigwa Risasi. Nehru ndiye Waziri Mkuu wa kwanza wa India na ni kweli Mwali alikutana na Mjukuu wa Mahatma Bibi Indira Ghandi ambaye ndiye alikuwa waziri mKuu wa kwanza wa Kike India ambaye naye aliuwawa na walinzi wake wenye asili ya kisingaasinga sababu walitaka kujitenga toka India jimbo la Punjab na yeye akiwa kiongozi alipambana nao sana. Mwanae Rajiv Ghandi akaja shika usukunani ambaye alipambana sana na Tamil ambao walikuwa wakiwasaidia waasi wa Sri Lanka naye akaja pigwa pomu la kujivaa ambalo alivalishwa mtoto mdogo.Katika taarifa ya habari saa saba mchana huu, msoma taarifa ya habari(dada) alisema Tanzania ina nia ya kuendeleza uhusiano kati ya Tanzania na India ulioanzishwa na Baba wa Taifa na waziri Mkuu wa India Mahatma Gandhi...!!! Hili lilirudiwa mara mbili.
Kwa kushangaa nikijua kuwa Mahatma Gandhi alikuwa mmoja wa waanzilishi wa Taifa la India( akishirikiana na kina Jawaharlal Nehru), Mahatma alifariki kitambo, 1948, na hakuwahi kuonana na Mwalimu.
Nikachoka, nikajua ITV/Radio One wameajiri mazuzu!
Joyce Mhavile, ajirini basi vijana waliopasi na wana uelewa wa kihistoria na mambo ya dunia.
Asante mkuu, eneza elimu ambsyo vijana wa sasa hawaijui kabisa.Mahatma Gandhi pia hakuwahi kuwa Waziri Mkuu wa India yeye alikuwa Mpigania uhuru wa Taifa hilo na ndiyo baba wa Taifa la india. Aliuawa kwa kupgigwa Risasi. Nehru ndiye Waziri Mkuu wa kwanza wa India na ni kweli Mwali alikutana na Mjukuu wa Mahatma Bibi Indira Ghandi ambaye ndiye alikuwa waziri mKuu wa kwanza wa Kike India ambaye naye aliuwawa na walinzi wake wenye asili ya kisingaasinga sababu walitaka kujitenga toka India jimbo la Punjab na yeye akiwa kiongozi alipambana nao sana. Mwanae Rajiv Ghandi akaja shika usukunani ambaye alipambana sana na Tamil ambao walikuwa wakiwasaidia waasi wa Sri Lanka naye akaja pigwa pomu la kujivaa ambalo alivalishwa mtoto mdogo.
Wewe wasingetoboa paleSio Hao tu, waandishi wetu wa habari wengi elimu zao za vichochoroni, hawaajiriki nje ya mipaka ya bongo, uelewa wao wa Mambo ya dunia ni mdogo Sana, kama kuna maandishi anayeweza kufsnya mahojiano ya Mambo ya kidunia, mfano kuendesha mjadara na wachambuzi nguli kuhusu geopolitics kama zinazoendelea huko mashariki ya ksti ni, Yvonne msemembo, Daniel Kijo, Doto burendu.
Ila hawa Kitenge,Hando, Zenbwela, ni makelele tu.
Ulifanyika mkutano mkubwa Dar wa mazingira, Marais wengi wa Afrika walikuja, hawa mavuvuzela wetu haikujulikana wapo wapi, MC wa shughuri alikuwa mtangazaji wa CNN kutoka Kenya, Larry Madowo,
Wa kwetu hata kuomba hiyo kazi, waliogopa maana wana uwezo duni,
Watangazaji siyo wa kulaumiwa. Wao wanasoma walichopewa kimeandikwa tayari. Wa kulaumu ni producers, editors, etc.Watangazaji wajinga wàlisababisha niache kusikiliza radio kabisal. Sina muda wa kujazwa ujinga mimi.
🤣🤣🤣Zuhuru huyo aka zuchuSasa mkurugenzi wa mawasiliano wa ikulu kweli??? hivi pale kuna shule kweli ??yule ni Maimuna.kasoma vyuo vya uchochoroni pale London, akabahatika BBC Swahili kwa kua anaongea kiswahili, basi akarushiwa taulo la ikulu hivyo tu. Huyo ni zero mwingine basi tu nchi yenyewe hii ya wagagagigikoko bora liende.
🤣🤣Watangazaji wenyewe kina zembwela,kitenge, mwijaku,baba levo,juma lokole lahaulaah lakwataa🤣Hizi Fm radio, mtangazaji anashangaa kumbe India kuna rais, tena mwanamke, yani wamejua hilo baada ya Samia kwenda India
FM za Dar wana ajiri cheap labour, vilaza wasio na background ya usomi.Hizi Fm radio, mtangazaji anashangaa kumbe India kuna rais, tena mwanamke, yani wamejua hilo baada ya Samia kwenda India