Ujumbe kwa Joyce Mhavile: Waandishi wako hawajui tofauti ya Mahatma Gandhi na Indira Gandhi - pathetic!

sasa historia ya wahindi mbongo ataijuaje?
ni kama mnamuonea.
Alafu yeye anasoma alichoandikiwa.kosa Lake lipo wapi
Kweli nyie mliosoma shule za kata mna matatizo.
World current civics tumejifunza tukiwa Form II miaka hiyo, na bado tunakumbuka.
Mahatma Gandhi alijulikana sana kwa passive resistance kwa wakoloni, Waingereza na alifariki 1948.
Indira Gandhi ndiye alikuwa rafiki ya Mwalimu.
 
Usiwaonee ITV hiyo ni kauli imenukuliwa kutoka kwenye kinywa Cha Rais nao wameireport hivyohivyo na sio wao pekee bali
vyombo vyote
kwa hiyo wa kulaumiwa hapo ni
Rais na kurugenzi ya mawasiliano IKULU maana wao ndio wameiwasilisha habari kwa
vyombo husika
Sasa mkurugenzi wa mawasiliano wa ikulu kweli??? hivi pale kuna shule kweli ??yule ni Maimuna.kasoma vyuo vya uchochoroni pale London, akabahatika BBC Swahili kwa kua anaongea kiswahili, basi akarushiwa taulo la ikulu hivyo tu. Huyo ni zero mwingine basi tu nchi yenyewe hii ya wagagagigikoko bora liende.
 
Katika taarifa ya habari saa saba mchana huu, msoma taarifa ya habari(dada) alisema Tanzania ina nia ya kuendeleza uhusiano kati ya Tanzania na India ulioanzishwa na Baba wa Taifa na waziri Mkuu wa India Mahatma Gandhi...!!! Hili lilirudiwa mara mbili.

Kwa kushangaa nikijua kuwa Mahatma Gandhi alikuwa mmoja wa waanzilishi wa Taifa la India( akishirikiana na kina Jawaharlal Nehru), Mahatma alifariki kitambo, 1948, na hakuwahi kuonana na Mwalimu.

Nikachoka, nikajua ITV/Radio One wameajiri mazuzu!

Joyce Mhavile, ajirini basi vijana waliopasi na wana uelewa wa kihistoria na mambo ya dunia.
Inawezekana hata yeye hajui, si ajabu.
 
Nasikiliza hapa ITV habari, waziri wa biashara wa India, Goyal (Goval?) anamtaja Mahatma Gandhi kwa na ushirikiano na Nyerere. Sasa hapo aliye sahihi na aliyekosea ni nani? Au mleta mada kakurupuka?
 
Katika taarifa ya habari saa saba mchana huu, msoma taarifa ya habari(dada) alisema Tanzania ina nia ya kuendeleza uhusiano kati ya Tanzania na India ulioanzishwa na Baba wa Taifa na waziri Mkuu wa India Mahatma Gandhi...!!! Hili lilirudiwa mara mbili.

Kwa kushangaa nikijua kuwa Mahatma Gandhi alikuwa mmoja wa waanzilishi wa Taifa la India( akishirikiana na kina Jawaharlal Nehru), Mahatma alifariki kitambo, 1948, na hakuwahi kuonana na Mwalimu.

Nikachoka, nikajua ITV/Radio One wameajiri mazuzu!

Joyce Mhavile, ajirini basi vijana waliopasi na wana uelewa wa kihistoria na mambo ya dunia.
Mahatma Gandhi pia hakuwahi kuwa Waziri Mkuu wa India yeye alikuwa Mpigania uhuru wa Taifa hilo na ndiyo baba wa Taifa la india. Aliuawa kwa kupgigwa Risasi. Nehru ndiye Waziri Mkuu wa kwanza wa India na ni kweli Mwali alikutana na Mjukuu wa Mahatma Bibi Indira Ghandi ambaye ndiye alikuwa waziri mKuu wa kwanza wa Kike India ambaye naye aliuwawa na walinzi wake wenye asili ya kisingaasinga sababu walitaka kujitenga toka India jimbo la Punjab na yeye akiwa kiongozi alipambana nao sana. Mwanae Rajiv Ghandi akaja shika usukunani ambaye alipambana sana na Tamil ambao walikuwa wakiwasaidia waasi wa Sri Lanka naye akaja pigwa pomu la kujivaa ambalo alivalishwa mtoto mdogo.
 
Asante mkuu, eneza elimu ambsyo vijana wa sasa hawaijui kabisa.
 
Sio Hao tu, waandishi wetu wa habari wengi elimu zao za vichochoroni, hawaajiriki nje ya mipaka ya bongo, uelewa wao wa Mambo ya dunia ni mdogo Sana, kama kuna maandishi anayeweza kufsnya mahojiano ya Mambo ya kidunia, mfano kuendesha mjadara na wachambuzi nguli kuhusu geopolitics kama zinazoendelea huko mashariki ya ksti ni, Yvonne msemembo, Daniel Kijo, Doto burendu.
Ila hawa Kitenge,Hando, Zenbwela, ni makelele tu.
Ulifanyika mkutano mkubwa Dar wa mazingira, Marais wengi wa Afrika walikuja, hawa mavuvuzela wetu haikujulikana wapo wapi, MC wa shughuri alikuwa mtangazaji wa CNN kutoka Kenya, Larry Madowo,
Wa kwetu hata kuomba hiyo kazi, waliogopa maana wana uwezo duni,
 
Kina joyce wanatabia zao
Sio watu wa kuaminika
Wanabadilika dk sifuri
Humwoni Joyce ndalichako,alikuwa karibu mkuu NECTA👌
Saivi kageuka kituko
Hata wizara waliyomweka ni aibu tupu
 
Sio Hao tu, waandishi wetu wa habari wengi elimu zao za vichochoroni, hawaajiriki nje ya mipaka ya bongo, uelewa wao wa Mambo ya dunia ni mdogo Sana, kama kuna maandishi anayeweza kufsnya mahojiano ya Mambo ya kidunia, mfano kuendesha mjadara na wachambuzi nguli kuhusu geopolitics kama zinazoendelea huko mashariki ya ksti ni, Yvonne msemembo, Daniel Kijo, Doto burendu.
Ila hawa Kitenge,Hando, Zenbwela, ni makelele tu.
Ulifanyika mkutano mkubwa Dar wa mazingira, Marais wengi wa Afrika walikuja, hawa mavuvuzela wetu haikujulikana wapo wapi, MC wa shughuri alikuwa mtangazaji wa CNN kutoka Kenya, Larry Madowo,
Wa kwetu hata kuomba hiyo kazi, waliogopa maana wana uwezo duni,
Wewe wasingetoboa pale
Sasa kitenge ana lugha au substance gani?🤣🤣
Wataishia kuajiriwa na waliokimbia shule kama dayamond na majiizoo
Elimu hazidanganyi
Education matters 🙏🙏🙏
 
Sasa mkurugenzi wa mawasiliano wa ikulu kweli??? hivi pale kuna shule kweli ??yule ni Maimuna.kasoma vyuo vya uchochoroni pale London, akabahatika BBC Swahili kwa kua anaongea kiswahili, basi akarushiwa taulo la ikulu hivyo tu. Huyo ni zero mwingine basi tu nchi yenyewe hii ya wagagagigikoko bora liende.
🤣🤣🤣Zuhuru huyo aka zuchu
Sasa Zuhuru na shule wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom