Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #41
Kweli nyie mliosoma shule za kata mna matatizo.sasa historia ya wahindi mbongo ataijuaje?
ni kama mnamuonea.
Alafu yeye anasoma alichoandikiwa.kosa Lake lipo wapi
World current civics tumejifunza tukiwa Form II miaka hiyo, na bado tunakumbuka.
Mahatma Gandhi alijulikana sana kwa passive resistance kwa wakoloni, Waingereza na alifariki 1948.
Indira Gandhi ndiye alikuwa rafiki ya Mwalimu.