Ujumbe kwa Joyce Mhavile: Waandishi wako hawajui tofauti ya Mahatma Gandhi na Indira Gandhi - pathetic!

Makanjanja hao.Hawana elimu ya kutambua mambo hayo.Monyo yaani MIMI alikuwa anakwepa vipindi Tegeta SS
 
Sasa wewe huelewi kuwa Tanzania kuna shule za kusomea ujinga?
 
Mohandas Karamchand a k a Mahatma Gandhi alipigwa shaba Kwa sababu za kidini kitambo hata Mwalimu hajaja Daslam
 
Habari ikiandaliwa na kusambazwa na Nape huwa ina makosa mengi ya kisarufi
 
...Umeusoma vyema habari aliyoimukuu mleta madam ?...au ni Kubisha TU ??
 
Huyo kapewa Tu karatasi asome , kosa hapo ni la muhariri
...Angekuwa Anaifahamu angeweza kusahihisha wakati anasoma !.... Radio zilipokuwa Radio, Msomaji anatakiwa Kuisoma Taarira ya Habari atakayosoma live Muda mchache kabla ya Kuisoma live aweze kujua palipokosewa arekebishe !...Siku hizi wanakwenda TU Hewani ! [emoji35]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…