Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Bonge la kichwa panzi Mungu awasaidie Watanzania hali mbaya mwendo wa kula bata tuRaisi wako mwenyewe kajichanganya uko na hotuba zake za kupika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bonge la kichwa panzi Mungu awasaidie Watanzania hali mbaya mwendo wa kula bata tuRaisi wako mwenyewe kajichanganya uko na hotuba zake za kupika
Makanjanja hao.Hawana elimu ya kutambua mambo hayo.Monyo yaani MIMI alikuwa anakwepa vipindi Tegeta SSKatika taarifa ya habari saa saba mchana huu, msoma taarifa ya habari (dada) alisema Tanzania ina nia ya kuendeleza uhusiano kati ya Tanzania na India ulioanzishwa na Baba wa Taifa na waziri Mkuu wa India Mahatma Gandhi! Hili lilirudiwa mara mbili.
Kwa kushangaa nikijua kuwa Mahatma Gandhi alikuwa mmoja wa waanzilishi wa Taifa la India (akishirikiana na kina Jawaharlal Nehru), Mahatma alifariki kitambo, 1948, na hakuwahi kuonana na Mwalimu.
Nikachoka, nikajua ITV/Radio One wameajiri mazuzu!
Joyce Mhavile, ajirini basi vijana waliopasi na wana uelewa wa kihistoria na mambo ya dunia.
Sasa wewe huelewi kuwa Tanzania kuna shule za kusomea ujinga?Katika taarifa ya habari saa saba mchana huu, msoma taarifa ya habari (dada) alisema Tanzania ina nia ya kuendeleza uhusiano kati ya Tanzania na India ulioanzishwa na Baba wa Taifa na waziri Mkuu wa India Mahatma Gandhi! Hili lilirudiwa mara mbili.
Kwa kushangaa nikijua kuwa Mahatma Gandhi alikuwa mmoja wa waanzilishi wa Taifa la India (akishirikiana na kina Jawaharlal Nehru), Mahatma alifariki kitambo, 1948, na hakuwahi kuonana na Mwalimu.
Nikachoka, nikajua ITV/Radio One wameajiri mazuzu!
Joyce Mhavile, ajirini basi vijana waliopasi na wana uelewa wa kihistoria na mambo ya dunia.
Mohandas Karamchand a k a Mahatma Gandhi alipigwa shaba Kwa sababu za kidini kitambo hata Mwalimu hajaja DaslamKatika taarifa ya habari saa saba mchana huu, msoma taarifa ya habari (dada) alisema Tanzania ina nia ya kuendeleza uhusiano kati ya Tanzania na India ulioanzishwa na Baba wa Taifa na waziri Mkuu wa India Mahatma Gandhi! Hili lilirudiwa mara mbili.
Kwa kushangaa nikijua kuwa Mahatma Gandhi alikuwa mmoja wa waanzilishi wa Taifa la India (akishirikiana na kina Jawaharlal Nehru), Mahatma alifariki kitambo, 1948, na hakuwahi kuonana na Mwalimu.
Nikachoka, nikajua ITV/Radio One wameajiri mazuzu!
Joyce Mhavile, ajirini basi vijana waliopasi na wana uelewa wa kihistoria na mambo ya dunia.
DILIDOHivi joy anamme?
Habari ikiandaliwa na kusambazwa na Nape huwa ina makosa mengi ya kisarufiKatika taarifa ya habari saa saba mchana huu, msoma taarifa ya habari (dada) alisema Tanzania ina nia ya kuendeleza uhusiano kati ya Tanzania na India ulioanzishwa na Baba wa Taifa na waziri Mkuu wa India Mahatma Gandhi! Hili lilirudiwa mara mbili.
Kwa kushangaa nikijua kuwa Mahatma Gandhi alikuwa mmoja wa waanzilishi wa Taifa la India (akishirikiana na kina Jawaharlal Nehru), Mahatma alifariki kitambo, 1948, na hakuwahi kuonana na Mwalimu.
Nikachoka, nikajua ITV/Radio One wameajiri mazuzu!
Joyce Mhavile, ajirini basi vijana waliopasi na wana uelewa wa kihistoria na mambo ya dunia.
...Umeusoma vyema habari aliyoimukuu mleta madam ?...au ni Kubisha TU ??Wewe ndiyo inabidi ujiongeze...kwani kuanzisha mahusiano lazma watu hao wawili waonane? Mahatma Ghandi aliweka misingi ya India kushirikiana na mataifa mengine kupigania Uhuru..jambo ambalo mrithi wake aliendeleza kwahiyo msingi ni kutoka kwa Mahatma Gandhi
...Angekuwa Anaifahamu angeweza kusahihisha wakati anasoma !.... Radio zilipokuwa Radio, Msomaji anatakiwa Kuisoma Taarira ya Habari atakayosoma live Muda mchache kabla ya Kuisoma live aweze kujua palipokosewa arekebishe !...Siku hizi wanakwenda TU Hewani ! [emoji35]Huyo kapewa Tu karatasi asome , kosa hapo ni la muhariri
Hili swali hapa si muktadha wake.Hivi joy anamme?
....Ndio Tatizo Letu Hilo ! Majibu Mepesi Kwa Hoja Nzito !Nenda katangaze wewe
Kwani kwa sasa kuna watanzania wenye unafuu ?Asilimia 98 ya waandishi wa habari wa bongo wa sasa ni Vilaza sana kwa mambo mengi. Shule za kata ni majanga.
Kosa ni la mhariri mtangazaji anapewa tu kusoma kilichopo mezaniTatizo kubwa ni kuajiri waandishi ambao si tu kwamba hawajui, bali hawajui kuwa hawajui, kama huyo kaka aliyekuwa akibisha.
FM radio nyingi ni janga jingine la taifa, hazina maudhui mengine zaidi ya mapenzi na mziki.Hizi Fm radio, mtangazaji anashangaa kumbe India kuna rais, tena mwanamke, yani wamejua hilo baada ya Samia kwenda India
Baada ya kujua tofauti ya hao watu imekusaidia nini katika maisha yako?....Ndio Tatizo Letu Hilo ! Majibu Mepesi Kwa Hoja Nzito !
Haishangazi kwamba ndipo tulipo...!!
Ukilea ujinga utakufa kwa ugonjwa wa kimasikini, kipindupindu!Baada ya kujua tofauti ya hao watu imekusaidia nini katika maisha yako?
Siyo makosa ya kisarufi tu.Habari ikiandaliwa na kusambazwa na Nape huwa ina makosa mengi ya kisarufi
Dah kwa kweli hamna, wengi hawajui yanayoendelea duniani zaidi ya kufatilia umbea wa Mange, Kubet na ngono. Nafikiri katika Afrika, Tanzania inaongoza kwa kua na vijana wa hovyo kuliko nchi zote za bara hili. Nchi ngumu sana hii.Kwani kwa sasa kuna watanzania wenye unafuu ?
Tuko hovyo sana kama nchiDah kwa kweli hamna, wengi hawajui yanayoendelea duniani zaidi ya kufatilia umbea wa Mange, Kubet na ngono. Nafikiri katika Afrika, Tanzania inaongoza kwa kua na vijana wa hovyo kuliko nchi zote za bara hili. Nchi ngumu sana hii.
Una Uhakika?.Ukibanwa Kwenye 18 unaweza kutoa ushahidi wa hicho ukisemacho?.Nani aajiriwe na ITV ambayo hailipi mishahara?
Unaambiwa watu wanadai mishahara mitatu nyuma.