Ujumbe kwa wanaume wote tulio kwenye mahusiano tunapouanza mwaka 2024

Hv ukiacha kile cha kwanza, zle zingn unatakiwa utumie wastani wa mda gn ili ujue hli ni tatizo?

Jibuni mapema ili tupeleke muswaada bungeni Sheria itungwe tusipoteze mda kubadili style ili kubuy time
 
GENTLEMAN OF 2024 FAHAMU [10] KUKUHUSU.

1. Kumwaga bao wakati unamuandaa mwanamke (foreplay) hata bado haujaingia Ukeni don't take it easy, hilo ni tatizo.

2. Kuwahi kumwaga kila round, angalau kwa round ya kwanza, ila kwa zinazofuata hilo ni tatizo, changamka.

3. Kuwahi kufika kileleni Kila siku unamtesa mkeo, usione halalamiki ukweli anakuvumilia tu akichoka Ndoa utaipoteza.

4. Moja ya sababu mwanamke kukutii kwa upendo ni pamoja na kuridhishwa kimapenzi kitandani, do your best bro!

5. Acha story za vijiweni kujifariji if you have money inatosha mwanamke kutulia, ukweli hata wewe Mwanamke awe na pesa asikupe mapenzi usingekubali... Infacts hisia hazinunuliwi.

6. Inawezekana 2023 ulipoteza nguvu ya ushawishi kwenye ndoa yako kwasababu ya udhaifu wako kitandani, dk 2 huwezi tena utawezaje Kucommand kwa mkeo? Inafikirisha!

7. Mwanamke hayupo kwako kupunguza ukali wa maisha bali kujipatia asichoweza kupata kwa ndugu zake, ndio maana hakukubali kudate na hanithi.

8. The more you're too Good on Bed 🛏️ ndivyo una win moyo wa mwanamke wako, hili hautafundishwa popote isipokuwa leo hii, ukipuuza ni wewe.

9. Ukishahisi una tatizo kuanza kumeza vidonge vya kuboost siku moja moja unapokuwa na game, ni hatari bora ubaki mdhaifu uendelee kuaibika polepole...

10. Haijalishi ni kwasababu ya punyeto au sababu nyingine kama umeshapoteza Nguvu, solution ipo, kikubwa commitments, Pesa, Muda na Kujitoa.

[Matibabu yapo na unaweza kuamua leo kwamba unataka kupona, utapona]

NB: Kama hauna uwezo hata wa kupiga round 3, au 2 za maana, wewe ni nani kwa Mwanamke aliyekupa heshima ya kumfunua every day? Changamka! 🛏️
Kwa andiko hili ni wazi mleta mada unaamini kuwa uhai wa uhusiano wa kimapenzi ni ngono tu. Kwamba ukiwa mahiri kwenye ngono inatisha.

Muono wa mwandishi wa mada hii unaweza kufanya wengine wakaacha kuwa mahiri kwenye mambo mengine muhimu ya kuimarisha husiano zao za kimapenzi.

Ova
 
Sisi wa NO FAP hii haituusu waachieni waangaike wenyew na ngono zao
 
Ujumbe mzuri kwa kukumbushana#
But najiuliza kitu kimoja hivi na wazungu/ nchi zilizoendelea hua wanawaza mapenzi muda mwingi kama sisi?! Kwanini sisi tunatumia nguvu nyingi na muda mwingi sana kwenye ngono. Najiuliza na wao wanakuaga na mijadala ya namna hii kwenye social network zao?! Ama ni athari gani wanazopata kwa kutofanya ngono kikamilifu mbona jamaa wako fresh tu, maisha yao mazuri, nchi zao zina maendeleo, wana pesa na maisha bora sana...
Nachojua wanatumia muda mwingi kufanya kazi sana that's why wana advance technologically kuliko sisi. Sisi tunatumia muda mwingi kutatua matatizo ya kimapenzi jamaa wako busy na research, innovation and invention. Sasa ukiwa mfanyaji mzuri wa mapenzi ina impact gani kwenye familia, ukoo na taifa kwa ujumla kimaendeleo?! Mtu anawaza ngono tu muda wote, anaongea ngono, anafundisha ngono, anafanya ngono. Huyu mtu ataweza kweli kutengeneza kizazi cha kuleta maendeleo kwa taifa kweli?! Mnatufundisha mapenzi muda wote why?! Why?! Mapenzi yanafundishwa kweli?!
Anyways, maisha yetu kivyetu vyetu# Bongo nyoso
 
GENTLEMAN OF 2024 FAHAMU [10] KUKUHUSU.

1. Kumwaga bao wakati unamuandaa mwanamke (foreplay) hata bado haujaingia Ukeni don't take it easy, hilo ni tatizo.

2. Kuwahi kumwaga kila round, angalau kwa round ya kwanza, ila kwa zinazofuata hilo ni tatizo, changamka.

3. Kuwahi kufika kileleni Kila siku unamtesa mkeo, usione halalamiki ukweli anakuvumilia tu akichoka Ndoa utaipoteza.

4. Moja ya sababu mwanamke kukutii kwa upendo ni pamoja na kuridhishwa kimapenzi kitandani, do your best bro!

5. Acha story za vijiweni kujifariji if you have money inatosha mwanamke kutulia, ukweli hata wewe Mwanamke awe na pesa asikupe mapenzi usingekubali... Infacts hisia hazinunuliwi.

6. Inawezekana 2023 ulipoteza nguvu ya ushawishi kwenye ndoa yako kwasababu ya udhaifu wako kitandani, dk 2 huwezi tena utawezaje Kucommand kwa mkeo? Inafikirisha!

7. Mwanamke hayupo kwako kupunguza ukali wa maisha bali kujipatia asichoweza kupata kwa ndugu zake, ndio maana hakukubali kudate na hanithi.

8. The more you're too Good on Bed 🛏️ ndivyo una win moyo wa mwanamke wako, hili hautafundishwa popote isipokuwa leo hii, ukipuuza ni wewe.

9. Ukishahisi una tatizo kuanza kumeza vidonge vya kuboost siku moja moja unapokuwa na game, ni hatari bora ubaki mdhaifu uendelee kuaibika polepole...

10. Haijalishi ni kwasababu ya punyeto au sababu nyingine kama umeshapoteza Nguvu, solution ipo, kikubwa commitments, Pesa, Muda na Kujitoa.

[Matibabu yapo na unaweza kuamua leo kwamba unataka kupona, utapona]

NB: Kama hauna uwezo hata wa kupiga round 3, au 2 za maana, wewe ni nani kwa Mwanamke aliyekupa heshima ya kumfunua every day? Changamka! 🛏️
Sio mambo ya msingi,nikiwa na pesa inatisha sana kuishi maisha yangu.

Sina huo ujinga wa kuishi maisha ya kumfurahisha mwingine badala ya Mimi,huo ni utumwa.
 
Back
Top Bottom