ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Na Mimi ndio napenda Sasa kuwa na Hilo tatizo madam linaniweka huruHaya boss basi una tatizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Mimi ndio napenda Sasa kuwa na Hilo tatizo madam linaniweka huruHaya boss basi una tatizo
GENTLEMAN OF 2024 FAHAMU [10] KUKUHUSU.
1. Kumwaga bao wakati unamuandaa mwanamke (foreplay) hata bado haujaingia Ukeni don't take it easy, hilo ni tatizo.
2. Kuwahi kumwaga kila round, angalau kwa round ya kwanza, ila kwa zinazofuata hilo ni tatizo, changamka.
3. Kuwahi kufika kileleni Kila siku unamtesa mkeo, usione halalamiki ukweli anakuvumilia tu akichoka Ndoa utaipoteza.
4. Moja ya sababu mwanamke kukutii kwa upendo ni pamoja na kuridhishwa kimapenzi kitandani, do your best bro!
5. Acha story za vijiweni kujifariji if you have money inatosha mwanamke kutulia, ukweli hata wewe Mwanamke awe na pesa asikupe mapenzi usingekubali... Infacts hisia hazinunuliwi.
6. Inawezekana 2023 ulipoteza nguvu ya ushawishi kwenye ndoa yako kwasababu ya udhaifu wako kitandani, dk 2 huwezi tena utawezaje Kucommand kwa mkeo? Inafikirisha!
7. Mwanamke hayupo kwako kupunguza ukali wa maisha bali kujipatia asichoweza kupata kwa ndugu zake, ndio maana hakukubali kudate na hanithi.
8. The more you're too Good on Bed [emoji2922] ndivyo una win moyo wa mwanamke wako, hili hautafundishwa popote isipokuwa leo hii, ukipuuza ni wewe.
9. Ukishahisi una tatizo kuanza kumeza vidonge vya kuboost siku moja moja unapokuwa na game, ni hatari bora ubaki mdhaifu uendelee kuaibika polepole...
10. Haijalishi ni kwasababu ya punyeto au sababu nyingine kama umeshapoteza Nguvu, solution ipo, kikubwa commitments, Pesa, Muda na Kujitoa.
[Matibabu yapo na unaweza kuamua leo kwamba unataka kupona, utapona]
NB: Kama hauna uwezo hata wa kupiga round 3, au 2 za maana, wewe ni nani kwa Mwanamke aliyekupa heshima ya kumfunua every day? Changamka! [emoji2922]
Huu ujumbe kwa wale wa kimoja chali lazima povu liwatokeNi utumwa mkubwa sawa tuu na utapeli ambao Huwa mnaambizana eti pesa ya mwanamke ni yake harafu ya baba ya familia.Kwangu hakuna upumbavu huo,ukitaka pesa iwe Yako peke yako hakikisha unakaa kwako sio kwangu.
Najua unatamani uwe wa shoo shoo lakini ndiyo vile akili inataka ila dushe ndo linagomaNa Mimi ndio napenda Sasa kuwa na Hilo tatizo madam linaniweka huru
Tabu zote izo bado na hela umpe. Gentlemen mna shida sana.GENTLEMAN OF 2024 FAHAMU [10] KUKUHUSU.
1. Kumwaga bao wakati unamuandaa mwanamke (foreplay) hata bado haujaingia Ukeni don't take it easy, hilo ni tatizo.
2. Kuwahi kumwaga kila round, angalau kwa round ya kwanza, ila kwa zinazofuata hilo ni tatizo, changamka.
3. Kuwahi kufika kileleni Kila siku unamtesa mkeo, usione halalamiki ukweli anakuvumilia tu akichoka Ndoa utaipoteza.
4. Moja ya sababu mwanamke kukutii kwa upendo ni pamoja na kuridhishwa kimapenzi kitandani, do your best bro!
5. Acha story za vijiweni kujifariji if you have money inatosha mwanamke kutulia, ukweli hata wewe Mwanamke awe na pesa asikupe mapenzi usingekubali... Infacts hisia hazinunuliwi.
6. Inawezekana 2023 ulipoteza nguvu ya ushawishi kwenye ndoa yako kwasababu ya udhaifu wako kitandani, dk 2 huwezi tena utawezaje Kucommand kwa mkeo? Inafikirisha!
7. Mwanamke hayupo kwako kupunguza ukali wa maisha bali kujipatia asichoweza kupata kwa ndugu zake, ndio maana hakukubali kudate na hanithi.
8. The more you're too Good on Bed [emoji2922] ndivyo una win moyo wa mwanamke wako, hili hautafundishwa popote isipokuwa leo hii, ukipuuza ni wewe.
9. Ukishahisi una tatizo kuanza kumeza vidonge vya kuboost siku moja moja unapokuwa na game, ni hatari bora ubaki mdhaifu uendelee kuaibika polepole...
10. Haijalishi ni kwasababu ya punyeto au sababu nyingine kama umeshapoteza Nguvu, solution ipo, kikubwa commitments, Pesa, Muda na Kujitoa.
[Matibabu yapo na unaweza kuamua leo kwamba unataka kupona, utapona]
NB: Kama hauna uwezo hata wa kupiga round 3, au 2 za maana, wewe ni nani kwa Mwanamke aliyekupa heshima ya kumfunua every day? Changamka! [emoji2922]
[emoji28]Xi Jinping Hadi Mr Devil anaona umezingua ujue si mchezo
Too bad sina tabia ya kujisifia wala kujieleza ilaMr Devil atakuwa kimoja chali
Kwa nilivyo kusoma.We ni muhanga wa hili tatizo nazani ume ponaAmini hili somo hakuna mahali utafundishwa
Mr Devil mbona wanasingizia mkuu 🤣[emoji28]Too bad sina tabia ya kujisifia wala kujieleza ilaKwa nilivyo kusoma.We ni muhanga wa hili tatizo nazani ume pona
na copy naanzisha uziUjumbe mzuri kwa kukumbushana#
But najiuliza kitu kimoja hivi na wazungu/ nchi zilizoendelea hua wanawaza mapenzi muda mwingi kama sisi?! Kwanini sisi tunatumia nguvu nyingi na muda mwingi sana kwenye ngono. Najiuliza na wao wanakuaga na mijadala ya namna hii kwenye social network zao?! Ama ni athari gani wanazopata kwa kutofanya ngono kikamilifu mbona jamaa wako fresh tu, maisha yao mazuri, nchi zao zina maendeleo, wana pesa na maisha bora sana...
Nachojua wanatumia muda mwingi kufanya kazi sana that's why wana advance technologically kuliko sisi. Sisi tunatumia muda mwingi kutatua matatizo ya kimapenzi jamaa wako busy na research, innovation and invention. Sasa ukiwa mfanyaji mzuri wa mapenzi ina impact gani kwenye familia, ukoo na taifa kwa ujumla kimaendeleo?! Mtu anawaza ngono tu muda wote, anaongea ngono, anafundisha ngono, anafanya ngono. Huyu mtu ataweza kweli kutengeneza kizazi cha kuleta maendeleo kwa taifa kweli?! Mnatufundisha mapenzi muda wote why?! Why?! Mapenzi yanafundishwa kweli?!
Anyways, maisha yetu kivyetu vyetu# Bongo nyoso
well saidSio mambo ya msingi,nikiwa na pesa inatisha sana kuishi maisha yangu.
Sina huo ujinga wa kuishi maisha ya kumfurahisha mwingine badala ya Mimi,huo ni utumwa.
Huwezi kujua kila kitu bhana.coded usipoelewa ujue shida ni wewe umeshindwa ku crack code,
Tupo aisee....yaani maandalizi tuu unajikuta wadhungu haoo hasa demu akiwa na tako takoUmeandika utopolo wa hali ya juu. Hivi kuna mtu anafanya hivyo kweli kwenye namba 1?