Ujumbe kwa wanaume wote tulio kwenye mahusiano tunapouanza mwaka 2024

10. Haijalishi ni kwasababu ya punyeto au sababu nyingine kama umeshapoteza Nguvu, solution ipo, kikubwa commitments, Pesa, Muda na Kujitoa.

[Matibabu yapo na unaweza kuamua leo kwamba unataka kupona, utapona]
Mkuu, hiyo dawa yako ni bei ngapi?
 
Mkuu wanaume wenye akili wangeliprint hili Bandiko waliwekee lamination walitundike gheto ila Kwa kuwa wengi ni wabishi waache
 
Kinywa soda nakuja kulipa
 
Ujumbe mzuri sana, ndoainsimarishwa na tendo, bila tendo lililokamilika hakuna ndoa.

BUT, tushauri tuwe na uchumi imara, trust me mahusiano mengi yanapumulia mirija coz uchumi umekuwa hafifu.

2024 pamoja na yote nawashauri tujikite kwenye kuongeza ukwasi.

Happy new Yr jf men!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…