Ujumbe kwa waoaji: Kuna tofauti ndogo sana kati ya haya makundi 4 ya wanawake

Bikra ya nyuma muhimu huku mbele ni majaliwa...
 
Unajua kuwa wanawake wa humu hawapendi kubishana na nyie? in most cases wamewapa ushindi wa mezani, (ignore)

Kwahiyo sio kwamba hatujitetei sababu tumeamua tu kutokujitetea, the argument is not worthy it, Bikra tushazitoa (Past) There’s no way tukabadili past sasa hata tukiargue hadi kukuche inasaidia ni?

Siku ile nimemuuliza mmoja wenu Kwanini hii elimu msiipeleke mashuleni primary, form one and two ili mabinti waone umuhimu wa kutunza bikra? na muwatishie kabisa kuwa wakikubali zitolewe kabla ya ndoa basi hawatapata hizo ndoa. (Hakujibu hiko kipande) unajua kwanini?

Bado unaamini lengo la hizi nyuzi ni kuhamasihana maadili? 😂😂😂 Ukifikiri hivyo lazima nikucheke.

Bado namtafuta atakayenieleza lengo la hizi nyuzi, Mimi bibi mzima hata ukinisimanga kutoa bikra yangu enzi za tanu hamna kitu uta achieve (zaidi ya kuongea na kujisikia vizuri)
 
SIKUPINGI MKUU😂
haiwezekani nioee used,
Wakaolewe na waliowatoa bana mbona simple
#ke anapanga aolewe na mwenye pesa
# Me mwenye pesa anataka kitu pure, ke ana mind, why?.
Nani hiyo alisema tunamind? Huku ni kujipa umuhimu…. Ukileta mada mahali kama hapa lazima utaungwa mkono au utapingwa, Kupingwa sio sawasawa na kumind, learn.
 
Kesi yako ni tofauti na uyo jamaa uko juu. Wewe umeongea ukweli, kwamba bikira zishatolewa hauwezi kubadilisha past so you have to face consequencies ukisimangwa, ukitukanwa busara ni kukaa kimya tu.

Lakini deepdown hata wewe mwenyewe hauwezi kufurahia binti yako awe na hii mienendo wa wanawake wa kisasa kuishi hoe and partying lifestyle kwa kufikiri huo ni uhuru, hauwezi kufurahia mtoto wako wa kiume aoe mwanamke ambae anajulikana kwa tabia ya umalaya.

Uyo jamaa yetu uko juu anatetea mambo ambayo yapo wazi kabisa. Linapokuja suala la kuangalia maadili na kujitunza kwa mwanamke basi mwanamke bikira na ambae sio bikira hawawezi kuwekwa kwenye mzani mmoja.

Linapokuja suala la kutengeneza bond mchakato wa kupata chemistry kwa mwanamke ambae ana flashback ya kufanya sex na wanaume wengi hauwezi kufananisha na mwanamke anaemjua mwanaume mmoja tu.
 
In most cases uko sahihi ila vitu vingi mnaongelea too general na mnakuwa mbali na uhalisia wa maisha!


Mnamaanisha? Mtu akinitongoza na mi nimempenda nimwambie anioe kwanza ndio anilale ? Na kama hataki kunioa? Nimuache hadi pale nitakapompata atakayekubali kunioa right? Katika hili mmeiondoa kabisa haki ya mwanamke kutumia mwili wake kupata sexual pleasure! Mnajua msichana/mwanamke anaanza kusikia nyege akiwa na umri gani??

By hoeing mnamaanisha nini? Je ni kitendo cha kujiuza, Au ni kitendo cha kubadili wanaume kiholela, kwa sababu za starehe au kujipatia pesa au kitendo tu cha mwanamke kuwa kwenye mahusiano akitarajia “kama ataolewa” na muhusika limetokea la kutokea akaachwa kabla ya kuolewa huo nao ni Hoeing? Yaani namaanisha definition yenu ya kutokuwa bikra ni hoe? Kuna muda ili tujadili vizuri lazima tupate framework ya mjadala. Nje na hapo tutakuwa tunawaya waya!

Naona kama tunabandika mambo mengi kwenye kapu moja na hili ni sababu ya ego, Hehe leo tusiokuwa na bikra tumefananishwa na porn stars na only fans nini nini sijui 😂
 
Ni tamaa yangu wanaume warudishe standards za wanawake wa kuwaoa hasa kigezo cha bikra. Hii itasaidia wanawake wajitunze

Mababu zetu walizingatia sana hicho kigezo ndio maana ndoa zao zilidumu sana.

Miaka yetu wanaume wameshusha sana standards wameacha kuoa bikira wanaoa asiye bikra, miaka ya karibuni wamekua wakioa single moms na sasa wanaoa single mom mwenye watoto wa baba tofauti

Sikatai watu wafunge ndoa ila kuoa mwanamke ambaye ametumika kumefanya miaka hii ndoa ziwe na changamoto sana

Hao waliooa used hatuna cha kuwasaidia zaidi ya wao kuvuna walichopanda
 
Hio ndio gender trap dada angu. Kila jinsia kuna sehemu inabanwa. Hata upande wetu tunaambiwa no money no honey. Hatuwezi kuja na excuse za kusema na sisi tuna upwiru, tuna haki ya kupendwa au ajira ngumu. All we have to do is to find money so we can cope with market flow. Hapo kwenye sexual right na mambo mengine ndipo za kuambiwa changanya na zako, ukizidiwa maarifa wewe ndio utakabaliana na conswquencies without excuse.
Wote ni hoes, ingawa uyo alijitoa kwa uaminifu na kila hali akijua kuna matumaini ya ndoa halafu akaachwa solemba anakua victim tu lakini in general nae anapewa title ya hoe iyo tunaita exception., hata wanaofungwa jela sio wote wana hatia.lakini wanatambulika kama wafungwa
 
Hahaha, Hakuna kitu mkuu, Watu wanataka bam bam, tuku tuku.
Kuwa mwanaume si jambo dogo.
Ilipaswa vijana wapewe somo liongezwe kwenye syllubus.
Kuanzia shule msingi na
Sekondari

Somo liitwe relationship skills

Hao wanaopenda bam bam ni uncivilized dilusional modern sh*t men.
 
Wewe establish causality kisayansi ama whatever kwamba mwanamke akiolewa hana bikira atafanya umalaya ....otherwise baki na mashudu yako!
 
Nimesoma kote huku nikikubali kwa kuitikia kwa kichwa. Then ukasema lesson ni "kuoa virgins."

Hao viumbe ni exint wamebaki kuwa myths tu. Labda ukuze wa kwako mwenyewe under extreme security measures kushindana na pentagon au kule area 51.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…