binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Okay!! Huwa napata kuelewa mambo mengi sana nikiuliza maswali yangu nikajibiwa.Hio ndio gender trap dada angu. Kila jinsia kuna sehemu inabanwa. Hata upande wetu tunaambiwa no money no honey. Hatuwezi kuja na excuse za kusema na sisi tuna upwiru, tuna haki ya kupendwa au ajira ngumu. All we have to do is to find money so we can cope with market flow. Hapo kwenye sexual right na mambo mengine ndipo za kuambiwa changanya na zako, ukizidiwa maarifa wewe ndio utakabaliana na conswquencies without excuse.
Wote ni hoes, ingawa uyo alijitoa kwa uaminifu na kila hali akijua kuna matumaini ya ndoa halafu akaachwa solemba anakua victim tu lakini in general nae anapewa title ya hoe iyo tunaita exception., hata wanaofungwa jela sio wote wana hatia.lakini wanatambulika kama wafungwa
Naenjoy akili zenu, je mnajua mnaakili nzuri? but in a very wrong world 😂 Na ubaya huu wa ulimwengu nanyi yawezekana ni sababu…