Dakarai
JF-Expert Member
- Jan 17, 2023
- 671
- 1,245
Mkuu ni vema ungekaa kimya kuliko kuendelea kujidhalilisha hapa.Au wewe uliingia kwenye ndoa kabla ya kumjua mwanamke?
Mtoa maada yupo sahihi kiroho, kimwili na kiakili katika mada hii.
Mwanaume yeyote nwenye akili timamu hawezi kuishi kwa misingi ya usawa na mwanamke, mtu au kitu chochote kwenye himaya yake.