Ujumbe kwa waoaji: Kuna tofauti ndogo sana kati ya haya makundi 4 ya wanawake

Me kila siku nawambia umu mwanamke akishaonja dudu zaid ya moja bc jua ni suala la mda tu kukucheat na apa ndo unakuja ule umuhimu wa kuoa mwanamke bikra
Mimi nashangaa sana wanaowatetea wanawake wasio bikira. Miaka hii ukisikia ndoa nyingi wanandoa wametalikiana sababu moja ni wanawake kucheat hasa na maex zao. Ila wanawake waliotalikiwa huwa hawasemagi tu
 
Sku izi kuna bikra za kwenye mashine usisahau ilo na wengne wanabikra za kiganga na madawa kibao ya asili

Kuna machine zinaweka bikra
 
Nakuonea huruma sana, hulijui ulisemalo!! Hivi hiyo ndio bikra yako ya kwanza kuikuta!?
 
Nakuonea huruma sana, hulijui ulisemalo!! Hivi hiyo ndio bikra yako ya kwanza kuikuta!?

Angalia upendo wa dhati na maisha jinsi yanavyokwenda upande wako ukiwa na huyo mke. Labda iwe ndio bikra yako ya kwanza kuikuta!!
Hakuna upendo wa dhati kutoka kwa mwanamke asiye bikira ambaye ameshachezea mipini tofauti tofauti ya wanaume
 
Hivi unadhani mtoa mada huo u pure anautolea wapi kwa haya makelele anayotufanyia humu!!
 
Hivi unadhani mtoa mada huo u pure anautolea wapi kwa haya makelele anayotufanyia humu!!
Ndio maana naona anatupigia makelele,mwanamke pure ni yule ambaye hakuzini kabla ya ndoa,kama hakumwogopa mungu akazini kabla ya ndoa ujue hatokuogopa wewe akiwa ndani ya ndoa
Ishu hapa ni bikira na ucha mungu ndio nitaelewa lkn bikira hovyo tu,wengine wanatoa bikira katika baiskeli huko je ukikuta hana utasema hatadumu katika ndoa?

Ovyo kabisa!
 
Kiufupi mtoa mada hayo hayajui, yeye kaja na bikra tu! Bila kujali kama kuna uchamungu! Pili sidhani kama anajua vigezo vya mwanamke kuolewa. Hivi chief mtu akifanya dhambi lakini dhambi hiyo ikawa ni siri yake baina yake na Mola wake naamini unaifahamu.
 
Ukitaka kujijua kama wewe ni mjinga., angalia kama kuna comment hata moja ya mwanamke anaetetea unachokitetea wewe. Wanashindwa kujitetea wenyewe? unafikiri kwanini wapo kimya?. Wanajua kosa lao. Wanawake wenyewe unaowatetea wanakuona kama hii katuni pichani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…