Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Thamani ya mwanaume na thamani ya mwanamke inapimwa kwa vigezo tofauti. Thamani ya mwanaume ni mali na thamani ya mwanamke ni mwili wake.Tunaongelea purity, sidhani kama mnachotetea hata mnakielewa. Mmekwea mbuyu kinyumenyume tu.
Tangu enzi na enzi suala la body counts sio ishu kwa mwanaume lakini upande wa mwanamke ni tatizo kubwa sana kwenye mchakato wa kuolewa. Hivyo hivyo suaa la umasiki sio ishu kwa mwanamke lakini upande wa mwanaume ni jambo linalozingatiwa sana linakuja suala la kuoa.
Kimila na kidini mwanamke ambae sio bikira wakati hajaolewa anatambulika kama malaya. Katika dini imeamliwa mwanamke uyo apigwe mawe mpaka kufa na kimila mwanamke uyo haolewi na anatengwa na jamii.
Tatizo kizazi hiki cha vijana simp mmezidiwa akili na wanawake.