Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
- #21
Ukweli lazima usemweMmezidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli lazima usemweMmezidi.
Umesema vyemaKama umeshindwa kabisa kupata mwanamke bikra ili uoe . basi usioe mwanamke asiye na bikra bali ishi nae tuu kama kampani yako.
Bora uoe mwanamke anaejua mahaba yote ...sio unaoa mwanamke kwa vile bikra, kuitoa tu hiyo bikra ni mbinde hata wiki nzima unahangaika nae kisa anaogopa kuumia, adi mzuka wa tendo unapotea na mashine inalala...na mwanamke ukianza nae mwenyewe anakua hana jipya kila kitu adi umfundishe wakati mtu unataka upate mambo fasta... Na hata ukioa bikra haimaanishi hatongozwi tena na wauni au kushawishiwa kugongwa...atagongwa vizuri tu ili asionekane mshamba kwa mashoga zake.
Sabuni ndio dawa yake!Haina makombo mkuu
Kuna kitu hamkizungumzii kabisa.
Uzoefu.
Hakuna kazi utakayo enda Fanya wasikuulize hicho kipengele.
Kumbuka, kwa mwanamke ndoa ni ajira
Hawa Wanawake Raha utapiga miti na watakamua kila kitu, tofauti na hao wenye shombo la maziwa.
Learn and Relearn
Hao bikra wanataka wapi kizazi hiki,nyie!Kama umeshindwa kabisa kupata mwanamke bikra ili uoe . basi usioe mwanamke asiye na bikra bali ishi nae tuu kama kampani yako.
Kama wewe ni mwanaume basi huna akili. Ila kama wewe ni mwanamke basi nikupe pole kwa kupoteza usichana wako bila ya kuolewaBora uoe mwanamke anaejua mahaba yote ...sio unaoa mwanamke kwa vile bikra, kuitoa tu hiyo bikra ni mbinde hata wiki nzima unahangaika nae kisa anaogopa kuumia, adi mzuka wa tendo unapotea na mashine inalala...na mwanamke ukianza nae mwenyewe anakua hana jipya kila kitu adi umfundishe wakati mtu unataka upate mambo fasta... Na hata ukioa bikra haimaanishi hatongozwi tena na wauni au kushawishiwa kugongwa...atagongwa vizuri tu ili asionekane mshamba kwa mashoga zake.
Tunawatoa wapi hao Ma-virgin?
😀😀😀😀Mkuu unataka kusema kuoa mwanamke asiye bikra ni sawa na kumuoa Kira Noir au Mia Khalifa? 🤣
Wako huko Mkuu,wazo zuri!Ondoa hiyo scarcity mindset wanawake bikra bado wapo
Hatuangalii ukubwa au udogo wa flemu,
upya Wala uzamani wa flemu,
Tunacho angalia ni tofari zinazo toka za kujengea
kuhusu udongo inategemea uzoefu wa mfyatuaji wa tofari
Ila udongo mzuli kwa tofari ni mfinyanzi Sasa Ina tegemeana una jengea maeneo gani
Kikubwa utoke kwenye nyumba za kupanga ili pesa itumike kwenye Mambo mengine ya msingi
Na atagongewa TU hata kama kaoa bikra. Sasa sijui mwisho wa siku Bora nani kimaumivu??boss tangu umepata au kuoa bikira imekuwa shida sana hapa jukwaani
una shida gani?
😀😀😀😀Kama wewe ni mwanaume basi huna akili. Ila kama wewe ni mwanamke basi nikupe pole kwa kupoteza usichana wako bila ya kuolewa
Mambo mengine bwana, sijui hata unachopigania hapo kitu gani. Unapoteza nguvu zako bure...
VIjana wamekubali kushusha standards zao, inasikitisha sanaKauli za finished men, sifa ya mwanamke ni yule aliyetunza usichana wake. Tatizo lenu vijana wa miaka hii wanawake wamewazidi akili