Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Labda zinapatikana kwenye familia za wahubiri oeni bikra. Hakuna ugonjwa mbaya kwa mwanaume kama hofu ya kugongewa. Bora usioe kabisa kuliko kuoa huku ukiwaza usije ukagongewa.Hao bikra wanataka wapi kizazi hiki,nyie!