Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Ndo huu unafikii. Wanaume tunapenda ngono, Kabla ya kuoa tunachakata, baada ya kuoa tunachakata.You're trying to exaggerate issues that don't hold water.
Ndoa kila mtu anatakiwa kuingia akiwa hamjui mwenzake, mwanaume awe pure na mwanamke awe sealed.
Hapo umeingia kwa ndoa una msururu wa wanawake 20 unategemea utulivu ndani ya ndoa?
Hizi mbususu zote zilizochakatwa tunataka zikazae watoto bikra ili vijana wetu waoe, vijana ambao ni wachakataji kama baba zao. Ushaona wapi hiyo fomula ikafanya kazi?