Ujumbe kwa waoaji: Kuna tofauti ndogo sana kati ya haya makundi 4 ya wanawake

Uzoefu wa nini? Na kwaajili ya nani? Kila mtu ana kile anachokipenda/penda kufanyiwa. Jonny, Kevin, Juma, Felix kila mtu anakitu tofauti ambacho hakifanani na mwingine. Halafu unakuja kuolewa na bwana Alex anayependa kitu tofauti. Experience unakusanya kwa x,y,z inakusaidia nini sasa kwenye ndoa yako?

Same applies kwa 'me. You are gathering experiences ambazo hauzihitaji kujenga ndoa yako. Nendeni mkajuane vizuri wawili. Binti bikra anastahili kijana bikra. Na kijana anayemjua mwanamke anastahili binti anayemjua mwanamme, fullstop.

Ati unakuta kijana anadai bikra kwa mwanamke ilihali milage inasoma mpaka sodoma na gomora ndio mambo anapenda. Na yeye anataka akioa eti aoe bikra. Eh, dunia simama nishuke mimi
 
Mbona tukifuatilia kila kitu tutaugua uwendawazimu!
 
Yeye kaambiwa mpango mzima ni bikira tuπŸ˜‚πŸ˜‚

Kama nimekuelewa vizuri ikiwa mtu kafanya dhambi na ikawa baina yake na Mola wake hakika Mungu humstiri lkn ukiitangaza unafeli
 
Kupata mke ni bahati tu!

Bikra na thamani yake lakini hatuna uhakika 100% kuwa can be a good wife!

Wife material ni zaidi ya Bikra unayoipa promo humu!

Kahaba anaweza kuwa good wife akiamua kuwa amechoshwa na uchafu wake!!!

Mengine ni Mungu tu,Kuna walioa washamba kabisa lakini baada ya kuridhika walianzisha Yao Hadi wakaomba Pooh waoaji!!
 
Nimefika πŸ˜ƒ mwanaume muhuni anayekitembeza anastahili mtu muhuni mwenzake wawekane ndani wakafundishane maujuzi waliyokusanya ktk matembezi yao. Vile vile binti aliyejitunza anastahili mwenzake aliyejitunza, haina mjadala
 
Mawazo kama haya ndio yanawafanya wanawake wapate ujasiri wa kufanya umalaya wakijua hata baada ya kukitombesha nchi nzima bado kuna masimp kama wewe wanatawatumia kama mpango wa kustaafu.
Tushawazoea nyie wachukia wanawake, tatizo lako wewe na mtoa mada is deeper, hamtopata wanawake na chuki zenu
 
Sipo hapa kupata validation ya kiumbe chochote kile nipo hapa kusema ukweli,huwa sipendi porojo na sipo kumfurahisha mwanamke yeyote yule

Sasa kwa akili yako kwa jinsi mnavyo wasimanga wakati nyie ndio mmawatoa bikra na kuwawacha unategemea watakuja hapa na kukomenti eeh kweli bwana inabidi tuwe na bikra πŸ˜‚πŸ˜‚

unafeli boss
 
Mimi nashangaa sana wanaowatetea wanawae wasio bikira. Miaka hii ukisikia ndoa nyingi wanandoa wametalikiana sababu moja ni wanawake kucheat hasa na maex zao. Ila wanawake waliotalikiwa huwa hawasemagi tu
Mmekutana wachukia wanawake...sababu za ndoa kuvunjika ni wanawake na sio wanaume webye michepuko kibao
 
Pale li senior bachelor,bikira la kiume linapofantasize bikira... tumekuchoka na attention seeking syndrome yako......
 
Unapimaje au unafahamuje mwanamke Fulani sio bikra na kinyume chake?

Swali fikirishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…