Ujumbe kwa waoaji: Kuna tofauti ndogo sana kati ya haya makundi 4 ya wanawake

Ujumbe kwa waoaji: Kuna tofauti ndogo sana kati ya haya makundi 4 ya wanawake

Baada ya kupoteza bikira unafikiri mwanamke anakuwa ameshatembea na wanaume wangapi mpaka ajitokeze mjinga mmoja wa kumuoa?
Baki na yidi yada zako,unaandika tu ilimradi una haki ya kuandika JF!
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanaume anayechezea papuchi nyingi kabla ya ndoa

Na mwanamke anayechezea mipini mingi kabla ya ndoa

Pale hao wawili wanapoingia kwenye ndoa
Lakini wote tuna mihemko na hisia, kama ni rahisi kwanini wewe usikae single toka balehe mpaka unapokuja kuoa, kitu kingine hizo papuchi unazochezea ndo wanawake wenyewe hao aoe nani
 
Lakini wote tuna mihemko na hisia, kama ni rahisi kwanini wewe usikae single toka balehe mpaka unapokuja kuoa, kitu kingine hizo papuchi unazochezea ndo wanawake wenyewe hao aoe nani
Mwanaume ndiye anayeamua mwanamke gani afanye naye maisha tofauti na mwanamke
 
Back
Top Bottom