Ujumbe maalum wa tahadhari kwa Maaskofu na waumini wa KKKT

Madhehebu ya siku hizi ni pasua kichwa, kilichobakia ni kila mtu kusimama kwenye imani yake na Mungu wake, ukisema umsikilize fulani na fulani utajikuta unatumikia interests za binadamu na kumuacha Mungu ambaye ndiye hasa kusudio la imani
 
Vipi wangekuwa ccm ungeleta haya? Lumumba on work
 
Ndugu yangu Pasco hapa umeandika mambo ya kijinga na kipumbavu.
Kwa uandishi wako huu unajishushia hadhi, utaishia kudharauliwa na kunyoshewa kidole. Umekuwa mwandishi wa kipropaganda sana. Jirekebishe sasa brother

Kama ilivyokuwa kwa issue ya kukamatwa kwa Eric Kabendera, ambapo wanaJF wengi wanakulaumu kwa wewe kuhusika na hilo kwa 90%, subiri na hili pia kukutwa na lawama.
 
Kwamba mkirsto akiwa kule juu lazima awe mkatoliki? Imeandikwa wapi hiyo? Mkuu mbona akili zako siyo zile ninazozifahamu? Huo ni udini na ubaguzi wa waziwazi. Shame on you.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Zanzibar ASP, jf tuko kwenye full freedom of expression, mtu una ji express your opinions freely bila kujali your opinions itamfurahisha nani au itamuydhi nani, au kama opinions zako zitakujengea hadhi na kulupa heshima au zitakufanya unyoshewe kidole na kudharauliwa.
P
 
Huyu jamaa sikujua kuwa ana akili za hovyo namna hii, ukatoliki au ukkkt utakupeleka wapi? Mtu abaki kwenye iman yake na kutenda yale yaliyo mema, Suala la kuanza kuona dhehebu fulani ni bora kuliko la mwingine ni upuuzi wa kiwango cha juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😏
 
Kwamba mkirsto akiwa kule juu lazima awe mkatoliki? Imeandikwa wapi hiyo? Mkuu mbona akili zako siyo zile ninazozifahamu? Huo ni udini na ubaguzi wa waziwazi. Shame on you.

Sent using Jamii Forums mobile app
P
 
Kwa hiyo wewe kilichokuudhi ni kudai Tume huru ya uchaguzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unasema ivyo na Lowassa aliyefika mpaka uwaziri Mkuuu, yeye ni KKKT. Apo vip? Au ulizungumzia uraisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama huamini, John Mnyika yupo Mwanza anaendelea na KKKT huko. Anaharibu kanisa.
 
Sijaelewa,hizi kelele zote ni Kwa sababu ya KKKT kutaka kutoa waraka wa kuhitaji tume huru ya uchaguzi au?
Kama ni ndio Kwa nini unaumia hivyo? Kwa nini na wewe usijipambanue kama mtu anaetishiwa ulaji wake hii nchi ikiwa na tume huru ya uchaguzi ili tukuelewe vizuri.
 
Hivi kwanini KKKT inawaumiza sana au kwa vile inaongozwa na Dr.Shoo msiemtaka? Ameshakuwa sasa subiri miaka 4 iishe,ila Mungu ni mwema atatuinulia mwingine zaidi ya Dr Shoo kwa msimamo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu kakuandikia au ni wewe mwenyewe???!!! Ukianza kusoma alichoandika mleta mada hata kabla hujamaliza unagundua kwamba ametumwa au amejituma kubashiri kitakachosemwa na viongozi wa KKKT kama salamu za mwaka mpya. Nia ya bandiko lake ni ku discredit salamu hizo kabla hazijatoka ili zikitoka zionekane hazina uhalali, naamini hata wewe utakua umeliona hilo ila umeamua tu kwa manufaa yako au yenu kujifanya hujaliona. Mwanzoni nilidhani post zako unaandika irony( kinyumenyume) lakini kadri siku zinavyokwenda unanipa mashaka na unayemtumikia. Kwa kifupi watanzania sio wajinga kiasi hicho kushindwa kujua uhuni unaofanywa na watu aina ya mleta mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…