Ujumbe maalum wa tahadhari kwa Maaskofu na waumini wa KKKT

Naona watu humu hawatumii akiri kwa ujumbe wa huyu bwana, kama vyama vya siasa vikianza kutumia makanisa kupata nguvu za ushawishi mnadhani Ccm yenyewe haina makanisa ya kupata washirika? Je hapo kutakuwa na amani ndani ya nchi au itakuwa vipi? Kama kanisa litataka Tume huru basi yawe ni mawazo yao sio kupewa na wanasiasa, mnaojidanganya kuwa chadema wana haki ya kutumia makanisa basi mjue hata serikari inaweza kuyatumia pia na ina uwezo wa kushawishi mpaka mgawanyiko kwenye hayo mnayo ona ni yenu. Tumia akiri kabla ya kuandika, tathimini madhara na faida zake, Tanzania amani imewalevya.
 
Kanisa kutaka kuwepo kwa Tume huru ya uchaguzi INA tatizo gani??

Huenda watumishi wameongea na Mungu, amewatuma watuambie kuwa ili kuepusha gharika na hasira ya Bwana juu yetu, tuwe na tume huru ya uchaguzi, hili lina tatizo gani kwa watu wa mungu???

Tuliwahi shuhudia waraka wa kanisa Catholic 2015, mbona hukuupinga ? Au kwa kuwa raisi alikuwa Mwislamu??
 
Ccm nayo iende ikayatumie hayo makanisa, maana mpaka sasa hivi inatumia vyombo vya dola kunajisi chaguzi za nchi. Tena hiyo ccm au serikali ifanye huo ushawishi ili tupate muafaka wa hizi chaguzi za kishenzi zinazoendelea hapa nchini. Tunahitaji kupata mgawanyiko ili tujue kuwa kufumbia macho chaguzi za kishenzi sio sahihi.
 
Sawa mkuu aelewe kuwa kuna wazinzi na waasherati wa kisiasa, wanainajisi nchi
 
Ccm haiwezi kuwashawishi waumini wenye akili kwa kuwa haitendi haki
 
Mbona hata chama Fulani Tawala kule Venezuela ya Afrika kimeshika majimbo yenye ushawishi wa wakatoliki na kabila unalotoka, Paschal Mayalla acha kabisa kuongelea udini, usije ukasababisha machafuko mtandaoni humu
 
Analysis ya kibwege kuwahi kutolewa na MTU mwenye akili kama wewe. kwani wananchi waliopiga kura
Kuwachagua wabunge, na wabunge walioteuliwa na chama kuwakilisha wananchi ni wa mrengo wa dhehebu LA hili kanisa?? Upotoshaji
 
P
 
Yakifanyika hayo sio viongozi peke yao watakao umia kama una uelewa rudia kujua nini kitatokea endapo kutakuwa na vita kati ya waumini wa madhehebu tofauti na ni nani wataumia kisha urudi u comment hapa.
 
Kwa taarifa yako, njia za kistaarabu na kufumbia macho uhuni ndio yaliyichangia uchaguzi wa Zanzibar kubakwa na huu wa serikali za mitaa kubakwa na inaonekana ni sawa tu. Acha tufike huko, huenda huu ushenzi utaisha kwenye chaguzi zetu. Inaonekana ni sahihi wengine wakifanyiwa uhuni wakae kimya, lakini wafanya uhuni hakuna anayewakanya.
 
Ccm haiwezi kuwashawishi waumini wenye akili kwa kuwa haitendi haki

Mleta mada kasemaje kama umemuelewa, kasema katibu anatoa ushawishi na fedha, ujue hapo tayari kanisa linajivika u yuda, sasa hao maaskofu walizoea kupewa pesa na matajili ambao wanawaibia wananchi kisha wanatoa sadaka kubwa na maaskofu wanachekelea kupata sadaka wanafanyia mambo yao mbona huwa hawawakatazi kuibia wanyoge na kuwakanya bali wanawabaliki kwa pesa haramu, maana mafisadi wao ndo watoa sadaka wakubwa. Kwa hiyo hata ccm watatumia hiyo pesa ili ma yuda wafate matakwa yao.
 
Hahaha najua unayo familia yakianza unajifungia hutaki hata kutoka nje, hivi ninyi mnasubili nani aanzishe wakati wewe upo? Anza wewe jitoe muhanga kama yule mwarabu alivyofanya wengine wakafuatia, sasa wewe unataka lakini hutaki kuanza, wakitangaza kuandamana wewe unaagiza chips na bia unasubili kutizama kwenye runiga.
 
Kilichotokea katika uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji ni TUSI ambalo kila dini na dhehebu la kweli linapaswa kukemea. Kila dini na dhehebu la kweli linatakiwa kupendekeza kuwa sheria mpya ya uchaguzi na Tume mpya ya uchaguzi iliyo huru kwa kuwa hilo ndilo jawabu kwa tatizo hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna hadhi ya Kuni quote, labda Dr Bashru
 
Mkuu nimesoma bandiko lako Mara 2 sijakuelewa kabisa, umekosea mkuu, unaweza kuleteta ushabiki lakini ukapandikiza mbegu za chuki miongoni mwa wananchi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…