Taharuki ipi? Hebu fafanua hapo kwanza. Na nani aliyepata taharuki, Chama, wananchi au viongozi.?Ni mtu mpumbavu tuu ndio anaweza mtishia mwingine uhai Kwa stori za kusadikika as if yeye hatokufa.
Kufa kuko pale pale na Kila mtu atakufa ila kutaka kuleta taharuki Kwa mgongo wa kanisa hakuna wa kukuvumilia Mzee..
Rais aliapa kulinda amani ya Nchi hii na ni kazi yake kuwadhibiti watu wahuni wote.
Analinda amani ya nchi kwa kuwa na vikundi vya utekaji?Ni mtu mpumbavu tuu ndio anaweza mtishia mwingine uhai Kwa stori za kusadikika as if yeye hatokufa.
Kufa kuko pale pale na Kila mtu atakufa ila kutaka kuleta taharuki Kwa mgongo wa kanisa hakuna wa kukuvumilia Mzee..
Rais aliapa kulinda amani ya Nchi hii na ni kazi yake kuwadhibiti watu wahuni wote.
Sikiliza hapo kisha tafakari huo utovu wake wa nidhamu.Kulikua hamna ulazima wa Rais siku ile kwenye kikao kumjibu Gwajima na kuendelea kumshambulia anathibitisha aliyosema Gwajima ni kweli. Pia Gwajima nae ni mtovu wa nidhamu
Kama vipo basi vipo kwa kazi hiyo hiyo ya kuhakikisha wahuni hawavurugi Nchi.Analinda amani ya nchi kwa kuwa na vikundi vya utekaji?
Kwa nini awe anatumia kanisa kufanya siasa za kushambulia mamlaka? Yeye si Mbunge ? Kwa nini asiitishe Mkutano aongee hayo anayoongea?Taharuki ipi? Hebu fafanua hapo kwanza. Na nani aliyepata taharuki, Chama, wananchi au viongozi.?
Wewe unaona wanatumia majukwaa ya dini kufanya siasa wako sawa?Ni amani ipi hiyo anayoilinda sasa, hebu tufafanulie hapo. Hao wote waliotekwa na kuuwawa walikosea nn kustahili kupokwa uhai wao
Nimeona Jana Barua ya Kufungwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima.
Nimeona Pia Clip ya Video inayosambaa ya Kuzingirwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima.
Miaka 2000 iliyopita kule JUDEA jambo kama hili lilitendwa.Ndio Lilifanyika kwa YESU,likafanyika kwa mitume na wengi wakauwawa na wengi wakafa.Hivyo ww sio wa Kwanza na wala serikali yako sio ya kwanza kufanya hayo.So endelea kushikilia Hapo hapo.
Hata hivyo nikwambie tu ukweli kwamba Unapigana vita ya Kushindwa kwani Ukweli ni kwamba unachotaka kiwe hakitakuwa na unachotamani kiwe hakitakuwa.
Shehe Yahaya Hussein alishaweka hilo Wazi.Julius Nyerere aliishaweka wazi hilo,Benjamin Mkapa alishaweka wazi hilo,Jakaya Kikwete alishaweka wazi hilo na hata JPM alishaweka Wazi hilo.
Wote hao katika nyakati zao waliona na kutambua kwamba hata majivuno.hata kiburi,hata mamlaka yao yana ukomo wake.
Fahamu kwamba hao watu wote ambao unawatumia kufanya udhalimu wanaapa kwa kutumia Biblia na Misahafu na ww kama Kiongozi unafahamu Hilo.
Ngoma ya Watoto Haikeshi Jiandae.
There is no time! It is MENE, MENE, TEKELI AND PERES!Time will tell.
Yeye aendelee kufanya kazi yake aliyoapa kuifanya kama ambavyo Viongozi wa dini wanaendelea kufanya kazi yao waliyoapa kuifanya.Kwani wasiwasi wako nini?Yeye anatimiza wajibu wake n hilo ndio la muhimu.Kwani tumesema kwamba asifanye kazi yake?Hatumfundishi kazi bali tunamkumbusha tu.Ni mtu mpumbavu tuu ndio anaweza mtishia mwingine uhai Kwa stori za kusadikika as if yeye hatokufa.
Kufa kuko pale pale na Kila mtu atakufa ila kutaka kuleta taharuki Kwa mgongo wa kanisa hakuna wa kukuvumilia Mzee..
Rais aliapa kulinda amani ya Nchi hii na ni kazi yake kuwadhibiti watu wahuni wote.
Mwamposa hafanyagi hayo? muda wenu umeisha!Wewe unaona wanatumia majukwaa ya dini kufanya siasa wako sawa?
Bado hujajibu swali, soma vizuri.Kwa nini awe anatumia kanisa kufanya siasa za kushambulia mamlaka? Yeye si Mbunge ? Kwa nini asiitishe Mkutano aongee hayo anayoongea?
Kufanya siasa kwenye eneo ambalo sio lake haifai.
Kanisa ndio Jukwaa Kongwe kabisa la Kisiasa.Kwa nini awe anatumia kanisa kufanya siasa za kushambulia mamlaka? Yeye si Mbunge ? Kwa nini asiitishe Mkutano aongee hayo anayoongea?
Kufanya siasa kwenye eneo ambalo sio lake haifai.
Sababu ya kipumbavu.Kwenye kuitetea nchi hakuna kuchagua ukumbi,silaha wala ujingaujinga mwingine.Kwa nini awe anatumia kanisa kufanya siasa za kushambulia mamlaka? Yeye si Mbunge ? Kwa nini asiitishe Mkutano aongee hayo anayoongea?
Kufanya siasa kwenye eneo ambalo sio lake haifai.
friji la nyesi, Bora la mateBibi kapanic na itakua katupiwa kijini mdhalilisho. Amedhihirishia umma wote kua mtekaji na muuaji ni nani. Wanaomtetea huyu bibi vichwa vyao ni friji la mate.
Hata Yesu aliwafokea,aliwapa hasara ya mali,aliwafanyia udhalilishaji na kuwafurusha wahuni hekaluni ambapo leo tungesema ni msikitini/kanisani.Kanisa ndio Jukwaa Kongwe kabisa la Kisiasa.
Nchi inatetewaje na nani? Na wewe nenda kaitetee basi kama GwajiboySababu ya kipumbavu.Kwenye kuitetea nchi hakuna kuchagua ukumbi,silaha wala ujingaujinga mwingine.
Haliwezi kuruhusuwa kufanya Sasa za uchochezi na chukiKanisa ndio Jukwaa Kongwe kabisa la Kisiasa.