Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
na nye pandeni rankHicho ndo kinawaponza na kitaendelea kuwaponza,aya rank mpo juu,kombe chukueni nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na nye pandeni rankHicho ndo kinawaponza na kitaendelea kuwaponza,aya rank mpo juu,kombe chukueni nyie
Tukipanda utatufunga,tupo hapa hapa kuhakikisha hupati furahana nye pandeni rank
Kwa bahati mbaya kwangu sikuwahi kukufuatilia miongoni mwa mashabiki wa Simba humu JF. Leo nimegundua busara na hekima ulizonazo na nakuongeza kwenye orodha yangu ya mashabiki wa Simba ndani ya JF àmbao ni Genta, Cocastic, Scars.Ningependa moja moja kuwapongeza watani zetu Yanga kwa ushindi wa jana.
Baada ya kufanya tathimini yangu fupi mitandaoni na vijiweni nimegundua kuna mabadiko makubwa kati ya mashabiki wa Simba na Yanga kutokana na mambo wanayojadili kuhusu timu yao.
Nikianza na Yanga haswa hapa Jf kwenye jukwaa lao utakuta wanajidili kikosi chao na kutathimimi mapungufu na maboresho hata hapa Jf demigod pamoja na upopoma wake lakini alianzisha uzi wa kuiushauri klabu yake kuwa isiweke kambi nje ya nchi badala yake iwe hapa hapa kwani muda walioanza kambi ni sio rafiki hatimaye uongozi ukafanya hivyo japo sina uhakika kwamba mawazo walitoa kwenye uzi wake hapa jukwaani.
Tukirudi upande wetu misimu ya nyuma tulikuwa na mtindo wa kujadili wachezaji na mwendo wa timu kwa ujumla hata msimu ukiisha hapa Jf tutakutana na nyuzi kibao za napendekeza na maboresho nk lakini hali imeanza kubadilika tokea msimu uliopita kuanza mashabiki wa Simba tumekua tukitumia nguvu kubwa na kujadili na kushadadia mambo ambayo hayana msingi kwa klabu sisemi kama ni ubaya kujadili ili kunogesha mambo ila tumekithirisha mno mifano naweka hapo chini;
1. Habari za ng'ombe wa Mayele mpaka kungundua mbavu zake zina mpangilio upi.
2. Sopu and Sakho cup ilikuwa kama tumebeba Uefa vile.
3. Rank za CAF. Kama zinadumu milele au fifa ndio wametoa.
4. Sakata la Manara.
5. Jezi mpya za Yanga ikafikia hatua mpaka kugundua msikiti na Hamza .
6. Kuliponda Kombe alilobeba Yanga NBC Premier League kea kusema ni blender wengine eti kama mchoro wa virus.Wakati huo wachezaji wanabweteka kwa kuona Sawa maana nguvu imehamia kuponda Kombe kuliko kuwafanya wajute kukosa ubingwa.
7. Ongezeeni wadau.
#GuyuMoya#GuvuMoya
#UziTayari
Hakuna sehemu alipokataa matokeo. Shabiki mzuri utamjua hata akishinda unamuona anakosoa madhaifu. Lakini humu Yanga wameshinda lakini ni Mtu mmoja tu alionyesha madhaifu machache ya Yanga.Mngeshinda haya yote yasingekuwa na maana. Kubalini matokeo!
Tate,Mimi kwa upande wangu naona kinacho waponza simba ni kuwekeza zaidi kwenye maneno, kuliko vitendo.
Na wasipobadilika, aisee watasahau kuifunga Yanga na pia kuchukua ubingwa wowote ule kwenye hii miaka ya karibuni.
Yaani wanachonga mno! Kejeli nyingi! Na hii ni kuanzia kwa CEO wao Barbara, Msemaji wao Ahmed Ali, na mashabiki wao kwa ujumla. Wapunguze kuchonga! Na badala yake wacheze mpira. Kwa miaka ya karibuni, simba wamewekeza sana katika mpira wa maneno nje ya uwanja! Halafu wakiingia uwanjani, mambo yanakuwa tofauti kabisa.
Ona walivyo mvimbisha kichwa Enock Inonga kwa kumkamia kwake Mayele, na kilichomkuta jana!
Huyo wala usimfuatilie utapoteza Muda. Yuko na mwenzake ni maarufu wa kuanzisha nyuzi za matokeo lakini ni mweupe kichwani kama pamba ya Simiyu.Jamani Simba wenzangu haraka tumuwahi njaakalihatari naona anaelekea kuchanganyikiwa sasa kila muda anaandika nyuzi za malalamiko halafu pumba tupuView attachment 2323594
Greatest Of All Time umesema ukweli kuwa kuna mashabiki mambumbumbu kabisa mfano hai huu hapa.
Rank inakusaidia nini kama unapigwa kama demuna nye pandeni rank
Kwahiyo washabiki wa yanga hawaisemi simba?Ningependa moja moja kuwapongeza watani zetu Yanga kwa ushindi wa jana.
Baada ya kufanya tathimini yangu fupi mitandaoni na vijiweni nimegundua kuna mabadiko makubwa kati ya mashabiki wa Simba na Yanga kutokana na mambo wanayojadili kuhusu timu yao.
Nikianza na Yanga haswa hapa Jf kwenye jukwaa lao utakuta wanajidili kikosi chao na kutathimimi mapungufu na maboresho hata hapa Jf demigod pamoja na upopoma wake lakini alianzisha uzi wa kuiushauri klabu yake kuwa isiweke kambi nje ya nchi badala yake iwe hapa hapa kwani muda walioanza kambi ni sio rafiki hatimaye uongozi ukafanya hivyo japo sina uhakika kwamba mawazo walitoa kwenye uzi wake hapa jukwaani.
Tukirudi upande wetu misimu ya nyuma tulikuwa na mtindo wa kujadili wachezaji na mwendo wa timu kwa ujumla hata msimu ukiisha hapa Jf tutakutana na nyuzi kibao za napendekeza na maboresho nk lakini hali imeanza kubadilika tokea msimu uliopita kuanza mashabiki wa Simba tumekua tukitumia nguvu kubwa na kujadili na kushadadia mambo ambayo hayana msingi kwa klabu sisemi kama ni ubaya kujadili ili kunogesha mambo ila tumekithirisha mno mifano naweka hapo chini;
1. Habari za ng'ombe wa Mayele mpaka kungundua mbavu zake zina mpangilio upi.
2. Sopu and Sakho cup ilikuwa kama tumebeba Uefa vile.
3. Rank za CAF. Kama zinadumu milele au fifa ndio wametoa.
4. Sakata la Manara.
5. Jezi mpya za Yanga ikafikia hatua mpaka kugundua msikiti na Hamza .
6. Kuliponda Kombe alilobeba Yanga NBC Premier League kea kusema ni blender wengine eti kama mchoro wa virus.Wakati huo wachezaji wanabweteka kwa kuona Sawa maana nguvu imehamia kuponda Kombe kuliko kuwafanya wajute kukosa ubingwa.
7. Ongezeeni wadau.
#GuyuMoya#GuvuMoya
#UziTayari
Huyo yanga ndio anepigwa kama demu, mara apigwe vinne, mara vitanoRank inakusaidia nini kama unapigwa kama demu
Simba tukikithirisha kiasi ambacho tukasahau kukosa na kurekebishwa mapungufu ya timu yetu mfano rahisi angalia sasa nyuzi za malalamiko ambazo kimsingi ushauri na napendekeza hayo yangekua yametolewa tokea awali ingesaidia.Kwahiyo washabiki wa yanga hawaisemi simba?
Mletee mzunguuHuyo yanga ndio anepigwa kama demu, mara apigwe vinne, mara vitano
Yeeessss...YANGA yetu sisi wenyew tunaiogopa
Pole sanaSawa Kazi iendeleeView attachment 2323848
Mkuu tumekuwa tukipishana kauli kwenye mada mbali mbali ila kwa hili NAKUUNGA MKONO badilisha mtazamo wa mashabiki wenzio hapa jukwaaniHuu uzi wa kujadili kistaarabu tafadhali tumia lugha nzuri mambo ya ushangingi hayana nafasi hapa.
Fukuza fukuza makocha imechangia Simba kudorora,kweli kabisa Nabi mechi zake nyingi zinaamuliwa na subs zake matata mfano fainali FA na nyinginezo ligi kuu.Simba SC kupoteza mchezo wake dhidi ya Yanga SC ni matokeo ya mpira, kwangu naona uwepo wa Nabi muda mrefu pale Yanga umemsaidia kuwajua vizuri wachezaji wake na awatumie vipi, ukilinganisha na kocha wa Simba SC ambaye bado ni mgeni.
Zile sub alizofanya Nabi ndio chanzo cha yote haya, anajua matumizi sahihi ya wachezaji wake, kocha wa Simba SC alikuwa kama anabahatisha kwa zile sub zake sababu ya ugeni wake.