Ujumbe tata wa Ney wa Mitego kwa Fred Vunjabei

Wewe wawap,hatuzungumzii kumchukia MTU persono, hapa tunamtazama Fred vunjabei kama tajiri,mwanasiasa ,mdhamini mkubwa kwa uwezekaji mkubwa simba sports club,haangaliwi kama wewe usietaka kua wife material kama ushauriwako ndomana umekaza shingo hata uelewi tunasema nn




Haya njoo uchukue pesa nikumwagie mauji haya urudi kwenu pengine ndo utaelewa
 

Hakuna sehemu nilipoandika kuhusu chuki,acha kukurupuka basi
Alichokiandika vunja bei hakina tatizo lolote kwa utajiri,uanasiasa wala udhamini wake wa SSC...labda ni wewe umelichukulia kistress

Pesa huna bhana wee,watu wenye pesa hawafananagi na wewe mzee....labda uniambie nije unimwagie hayo mauji for free,ila pesa???huna aseee
 
Matajiri hawana tabia za Kiswahili kama zake, utafikiri yeye ndo mtu wa kwanza kuwa pesa katika nchi, kwanza huyu mwamba ana nyota ya ukimwi
 
ushamba kazi karibuni mjin
 
Amekukosea nini? Uanzishe hiyo kampeni kwa kosa lipi?

Acha kua na mawazo ya kimasikini,mkiona mtu kanyanyuka kidogo tu mnaumia,

Hapo unatamani ashuke ili awe kama wewe badala ya wewe kutamani upande juu uwe kama huyo Fred.
Mpuuzi sana huyo jamaa!! Wabongo wana chuki ambazo hata haziwasaidii kwa lolote!! Unakuta hata kwenye maduka yake hajawah kukanyaga af anaandika huo upuuzi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…