kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Wewe wawap,hatuzungumzii kumchukia MTU persono, hapa tunamtazama Fred vunjabei kama tajiri,mwanasiasa ,mdhamini mkubwa kwa uwezekaji mkubwa simba sports club,haangaliwi kama wewe usietaka kua wife material kama ushauriwako ndomana umekaza shingo hata uelewi tunasema nnHuwa sichukui vitu personal,huwa sichangii kitu eti sababu ya jinsia yangu...naandika nachosimamia
Labda kama wewe umechukulia personal kwasababu huna pesa,hupendi kuombwa pesa na mwanamke wako ama sababu nyingine youote
Ukichukulia tu kiujumla...alichokiandika vunja bei kina ubaya gani hadi ufikirie kampeni uliyofikiria?
Haya njoo uchukue pesa nikumwagie mauji haya urudi kwenu pengine ndo utaelewa