Master Arcade
JF-Expert Member
- Apr 21, 2021
- 404
- 658
Neno mauji kalileta@kina kirefu ila hujaliona umekuja kuliona kwa Joanah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hasira za kukosa hela hizi.Mauji unamanisha shahawa? Leo shahawa zilizomwagwa kwa mama ako ukaundwa wewe, leo unaziita UJI , na huo uji ulivyokua kitoto ndio uliokua unapewa ukupe lishe ukue leo unaufananisha na shahawa ? Pumbavu kabisa wewe.
Hana ujanja nao kabisa 😅 ni ndeziHatari sana, jamaa kiuchumi kafanikiwa lakini ana ushamba flani kwa wanawake.
Hila hatutegemei public figure kama yeye kutoa kauli ambayo ni offending namna hio na inaumiza hisia za wengine! What if wewe ni graduate ambaye huna mishe mtaani? How would you feelFred kwa hili hajakosea wadau kiukweli ni raha na amani kutatua matatizo ya watu unaowapenda iwe mpenzi, rafiki, mzazi hats ndugu zako yakiwa ndani ya uwezo wako. Lakini kama huna namna ya kuwasaidia ni stress
Vijana wa siku hizi ni wafata mkumbo wanahisi watu wote ni wajinga kama wao.Sababu ya kuanzisha hiyo kampeni ni ipi?
Heheheheh si wote wana hela😂😂😂Mkuu embu mpunguzie majukumu unaanzaje kumfananisha Vunjabei na Mo jamani 🤣🤣🤣
Hii sasa naona iko personal na udsm mjomba.....tuachie udsm yetu kiongoz...Kwahiyo Ney alijua kila mtu aliesomea UDSM ni mjanja au kwenda China kufunga mzigo tayari ni ujanja?
Hana pesa huyo ni muhuni to usikute hata msosi anagongea ila humu mtandaoni anajikuta tycoon.Hakuna sehemu nilipoandika kuhusu chuki,acha kukurupuka basi
Alichokiandika vunja bei hakina tatizo lolote kwa utajiri,uanasiasa wala udhamini wake wa SSC...labda ni wewe umelichukulia kistress
Pesa huna bhana wee,watu wenye pesa hawafananagi na wewe mzee....labda uniambie nije unimwagie hayo mauji for free,ila pesa???huna aseee
Kwan mtu ukiacha kumsikia wewe manake amefirisika?Hussein pamba kali
Roby one fashion
Na wote now hatuwasikii
Halafu tunamjua nyumba ya biashara ya nguo, nini anafanya?, ni swala la muda tu.
Kuna mbilinyi mngoniSugu ni mngoni
Kiukweli mimi kama ningekuwa graduate sina mishe mtaani ningejisikia vibaya lakini kujisikia kwangu vibaya isipinge hoja ya kweli ya mtu mwingine anaishi maisha yake...ichukue kama changamoto ya kuongeza upambanaji zaidi sio chuki na uaduiHila hatutegemei public figure kama yeye kutoa kauli ambayo ni offending namna hio na inaumiza hisia za wengine! What if wewe ni graduate ambaye huna mishe mtaani? How would you feel
Hamna mtu aliyesema ana chuki au uadui ila pia tunaosema sisi ni ukweli nao auchukulie kama changamotoKiukweli mimi kama ningekuwa graduate sina mishe mtaani ningejisikia vibaya lakini kujisikia kwangu vibaya isipinge hoja ya kweli ya mtu mwingine anaishi maisha yake...ichukue kama changamoto ya kuongeza upambanaji zaidi sio chuki na uadui
Ni vile kaongea yeye mwenye pesa mnaona kama kaleta dharau hilo lina ukweli kuna muda usipoisaidia familia,ndg na jamaa zako wanaona huna upendo na wengine wanaumiza kichwa kusaidia ila wengine wanaona poa tuu...Hila hatutegemei public figure kama yeye kutoa kauli ambayo ni offending namna hio na inaumiza hisia za wengine! What if wewe ni graduate ambaye huna mishe mtaani? How would you feel
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kweli kabisaSema pesa ni za kuwa nazo wakuu, mwamba anazidi kutusema sana kisa yeye ana pesa daaaah
Basi sawa kila mtu ashinde mechi zake, sie hatutoi yeye atoe si anazo hata kanisani sadaka sio standard kila mtu anatoa kwa uwezoNi vile kaongea yeye mwenye pesa mnaona kama kaleta dharau hilo lina ukweli kuna muda usipoisaidia familia,ndg na jamaa zako wanaona huna upendo na wengine wanaumiza kichwa kusaidia ila wengine wanaona poa tuu...
AstaghafirulahThis is what it is! Alianzaga Nikki wa pili na hizi ngonjera baada ya wahuni kumtombea sana akaamua akaushe maana alihisi yule mama Zuri ni malaika sana![emoji28][emoji28][emoji28]
Upo sahihi Mkuu bongo unakuta muhuni kagongewa na Vunja basi anataka na sisi tuingie kwenye bifu zao mwingine alisema zile nguo ni za chini mno...sasa anataka apate levis jean kwa 19 elfu..Basi sawa kila mtu ashinde mechi zake, sie hatutoi yeye atoe si anazo hata kanisani sadaka sio standard kila mtu anatoa kwa uwezo