Ujumbe tata wa Ney wa Mitego kwa Fred Vunjabei

Fred kwa hili hajakosea wadau kiukweli ni raha na amani kutatua matatizo ya watu unaowapenda iwe mpenzi, rafiki, mzazi hats ndugu zako yakiwa ndani ya uwezo wako. Lakini kama huna namna ya kuwasaidia ni stress
 
Mauji unamanisha shahawa? Leo shahawa zilizomwagwa kwa mama ako ukaundwa wewe, leo unaziita UJI , na huo uji ulivyokua kitoto ndio uliokua unapewa ukupe lishe ukue leo unaufananisha na shahawa ? Pumbavu kabisa wewe.
Neno mauji kalileta@kina kirefu ila hujaliona umekuja kuliona kwa Joanah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hasira za kukosa hela hizi.

Hili swala la kuombwa pesa bana kila mtu ashinde mechi zake. Wanaoona kuombwa hela ni starehe waendelee kuburidika na wanaoona ni kero waache. Sio kumsakama Fred.

Hivi kutoomba hela ndo uwife material? Wote mliioa wake zanu walikuwa hawaombi hela ndo maana mkawaoa?
 
Fred kwa hili hajakosea wadau kiukweli ni raha na amani kutatua matatizo ya watu unaowapenda iwe mpenzi, rafiki, mzazi hats ndugu zako yakiwa ndani ya uwezo wako. Lakini kama huna namna ya kuwasaidia ni stress
Hila hatutegemei public figure kama yeye kutoa kauli ambayo ni offending namna hio na inaumiza hisia za wengine! What if wewe ni graduate ambaye huna mishe mtaani? How would you feel
 
Hakuna sehemu nilipoandika kuhusu chuki,acha kukurupuka basi
Alichokiandika vunja bei hakina tatizo lolote kwa utajiri,uanasiasa wala udhamini wake wa SSC...labda ni wewe umelichukulia kistress

Pesa huna bhana wee,watu wenye pesa hawafananagi na wewe mzee....labda uniambie nije unimwagie hayo mauji for free,ila pesa???huna aseee
Hana pesa huyo ni muhuni to usikute hata msosi anagongea ila humu mtandaoni anajikuta tycoon.
 
Jamaa amefanya ubarazuli ulioiva haswa
Sii vibaya kuonyesha ukwasi wako, lakini kuitafsiria jamii/kikundi flani aina ya ujinga wake tutamwona siyo mtu mwenye nidhamu ya ukwas na hatatofautia mwehu
 
Hila hatutegemei public figure kama yeye kutoa kauli ambayo ni offending namna hio na inaumiza hisia za wengine! What if wewe ni graduate ambaye huna mishe mtaani? How would you feel
Kiukweli mimi kama ningekuwa graduate sina mishe mtaani ningejisikia vibaya lakini kujisikia kwangu vibaya isipinge hoja ya kweli ya mtu mwingine anaishi maisha yake...ichukue kama changamoto ya kuongeza upambanaji zaidi sio chuki na uadui
 
Hamna mtu aliyesema ana chuki au uadui ila pia tunaosema sisi ni ukweli nao auchukulie kama changamoto
 
Hila hatutegemei public figure kama yeye kutoa kauli ambayo ni offending namna hio na inaumiza hisia za wengine! What if wewe ni graduate ambaye huna mishe mtaani? How would you feel
Ni vile kaongea yeye mwenye pesa mnaona kama kaleta dharau hilo lina ukweli kuna muda usipoisaidia familia,ndg na jamaa zako wanaona huna upendo na wengine wanaumiza kichwa kusaidia ila wengine wanaona poa tuu...
 
Basi sawa kila mtu ashinde mechi zake, sie hatutoi yeye atoe si anazo hata kanisani sadaka sio standard kila mtu anatoa kwa uwezo
 
Upo sahihi Mkuu bongo unakuta muhuni kagongewa na Vunja basi anataka na sisi tuingie kwenye bifu zao mwingine alisema zile nguo ni za chini mno...sasa anataka apate levis jean kwa 19 elfu..
 
Back
Top Bottom