Ujumbe tata wa Ney wa Mitego kwa Fred Vunjabei

Ukiwa huna pesa mwenye Pesa zake akizitumia unahisi anazitumia vibay kumbe hat ww ungekua nazo ungezitumia ivyo ivyo all in all Vunja we endelea kuwajaza minotiiii akina mobetto
 
Lini kaingia kwenye list ya matajiri Tanzana?
Kwakua
Umekubaliana kua tayari ni political figure
Mwekezaji katika club kubwa afrika(SSC)

Kuhusu kuingia kwenye list yamatajiri likawa swala lamuda tu hapo baadae ndomana tunamsihi aachane namaswala ya kipuuzi kama hayo ,awaachie wakina cha kwamparange


nimekuelewa mrembo
 
Kwahiyo VUNJABEI asitupangie kazi ya Pesa zetu, kama yeye ni kuwapa wanawake basi ndo choice yake.
 
Kwahiyo VUNJABEI asitupangie kazi ya Pesa zetu, kama yeye ni kuwapa wanawake basi ndo choice yake.
Naam hakuna wa kumpangia mtu matumizi so long as kwanza anatimiza wajibu wake (mfano asiache kuwapeleka watoto wake shule au kulisha familia yake) asitegemee jamii imfanyie..., so long as anatimiza wajibu (anawepa basi needs wategemezi/familia yake) hio excess ya pesa ni upon him to decide...
 
Watu waache chuki zisizo na msingi, kwa aina ya buashara anazofanya za kuuza nguo lazima atafute umaarufu ili avutie wateja wake.
Kwahyo mnataka jamaa auze nguo kimya kimya.

Biashara ni matangazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…