Ujumbe tata wa Ney wa Mitego kwa Fred Vunjabei

Ujumbe tata wa Ney wa Mitego kwa Fred Vunjabei

Hakuna sehemu nilipoandika kuhusu chuki,acha kukurupuka basi
Alichokiandika vunja bei hakina tatizo lolote kwa utajiri,uanasiasa wala udhamini wake wa SSC...labda ni wewe umelichukulia kistress

Pesa huna bhana wee,watu wenye pesa hawafananagi na wewe mzee....labda uniambie nije unimwagie hayo mauji for free,ila pesa???huna aseee
Naomba nije mimi mpendwa. Strictly between us!
 
JAMANI MATAJIRI NI WALE WALIO WEKEZA KENYE VIWANDA, NA MASHAMBA MAKUBWA, NA WAKO KIMYAAA

HAWA WATU WA KATI, WANA NUNUA NA KUUZA FEDHA ZAO NI ZA MUDA TU NDIO SBB WALIO WATANGULIA WALIANGUKA.
 
Sioni vunja bei kufilisika kama Ney anavyodai,ni wivu tu vijana unawasumbua...kupenda wanawake sio ushamba na haswa pale unapokuwa na pesa we wapende na wapelekee moto.

Kama kufilisika kwasababu ya mademu angeanza kufilisika Diamond,labda Ney kasikia kijana mwenzie anakula pisi ambazo yeye hana ubavu wa kuziingia,ndo wivu ukamshika mahali pake

Kama mtu anapewa dili na Simba SC hii ya sasa chini ya bosi Mo(miongoni mwa watu matajiri Afrika)aje kufilisika kisa hawa akina hamisa mobeto??....that's a joke,ni wivu tu na uwoga lkn kijana Fred ana deserve hii life na I'm sure he's AWARE na pesa zake..
 
Mwanangu Fred,mshamba aiseee

I thought the nigga was a different breed mpaka alipoanza kuongea ungese

Nadhani ana njaa kali sana ya kujulikana,hii njaa ya kutaka umaarufu inazidi njaa ya kufanya biashara,soon graphs zitapishana tutafute roots of the two quadratic equations!
Kwa Hilo nitakusapoti mzee.

The nigga starts to suck.

Seeking too much attention with ridiculous stuffs.

Yawezekana ikawa huo umaarufu unamzuzua au ushamba Fulani.

Wanavyomnyenyekea na hivyo visenti marafiki kila Kona ngoja alipge shoti ya hasara[emoji1] hatowasikia akina mobeto sijui Nani?

Najua Ni maisha yake but anaanza toka nje ya reli soon at crash.
 
Fredy akienda hivi hatakuwa na tofauti na Mtandale na utajiri wake utaonekana hauna mashiko! Huwezi kukuta Mo anaandika upuuzi namna hii kwenye page yake [emoji28][emoji28][emoji28]
Mo hata familia yake haijulikani.

Ukishakuwa public figure kwenye sekta muhimu ya jamii lazima ujue ku maintain your image
 
Huwa sichukui vitu personal,huwa sichangii kitu eti sababu ya jinsia yangu...naandika nachosimamia

Labda kama wewe umechukulia personal kwasababu huna pesa,hupendi kuombwa pesa na mwanamke wako ama sababu nyingine youote

Ukichukulia tu kiujumla...alichokiandika vunja bei kina ubaya gani hadi ufikirie kampeni uliyofikiria?
Mimi naomba utuambie wewe kina uzuri gani kwenu nyie?
 
Back
Top Bottom