Ujumbe tata wa Ney wa Mitego kwa Fred Vunjabei

Ujumbe tata wa Ney wa Mitego kwa Fred Vunjabei

Huyo Mkinga aliposhika sm yake kuandika huo ujumbe hakua akifikiria kushauri mtu yoyote bali Kiki.

Biashara ya nguo si rahisi kihivyo.Wateja wake ambao wengi ni wanafunzi ni watu wa Kiki. So far kafanikiwa sababu ya social media na Kiki.

Nay kumjibu na hata kumfungulia uzi hapa ni kumpa Kiki. Na mtegemee Kiki nyingine nyingi toka kwa huyu mtu Too Much Money.
 
"Naomba Mumkumbushe Fred kua walikuwepo wauza nguo kama yeye walikuwa na hela kuliko yeye, walikuwa washamba wa mademu wa mjini kama yeye na wakafilisika na hawapo tena, so na yeye kwa ushamba huo huo wa mademu tutamsahau ni muda tu #hawakatai zikiisha sasa." - Nay wa Mitego.

View attachment 1847115
Kile kinyama hakina baunsa...! Mfalme Suleiman mwenyewe alisanda.. Pesa ni sumaku na ulimbo mbaya kabisa
 
Mimi namkeki tu vunjabei nasema hiiiiii
Labda atatoboa Hela kidogo tu anashauri tuombwe hela
 
Heh! Jamaa amesema eti kuombwa pesa ni starehe??

Huenda starehe ina maana nyingi tu, ngoja nitafute kamusi yangu.
 
Jamaa ni mshamba Sana , bonge la lofa hapa mjini....!! Biashara anayofanya ni ya fashion mda wwte inaweza overturn hata kama umejipangaje , sometime tuwe na akiba ya maneno...!!
 
Kama hujui vitu uwe unakaa kimya ,tokea lini mbilinyi akawa mngoni?

Sugu ni mkinga pure aliyekulia mbeya mjini .
We kweli kiande pure ...fuatilia utajua. ... Usimwezeshwe vitu afu ukaishia kukariri. ...
 
Back
Top Bottom