Tatizo ni ushamba alionao vunja bei,,
anadhani mwanaume bila kuhonga mwanamke pesa kibao kwamba mwanamke humpati.
Amefika mbali zaidi kwa kuwahamasiha wanawake waombe pesa wanaume zao.
Kwamba usipomuomba mwanaume pesa,,yeye anaona hakupendi .
Na sio pesa ndogo,,
Akaenda mbali zaidi kwamba yeye akiombwa pesa na mwanamke anaona ufahari na raha isiyo kifani kumtimizia shida zake..
Wakati hao wanawake anaotamba nao,watu wanawapata kwa kujiramba midomo tu.,,na swaga za kigengleman na
Wala pesa hawatoi.
Mwanamke kama Hamisa mobeto watu washazalisha watoto 2 ziwa lishakuwa sikio la tembo,,nae ni mwanamke wa kumfungulia duka?
Baadae akaachwa akaanza kulialia mitandaoni
Huoni kama huyu vunja jungu ni zaidi ya pimbi?
Mwanaume akiwa na pesa na bado anaachwa na mwanamke basi ana matatizo makubwa yasiyoelezeka.
Alisikika muhunga mmoja wa zamani.