Ujumbe ulioandikwa na John Heche kwenye X (Twitter) mwaka 2020 ukimuhusu Mbowe huu hapa

Ujumbe ulioandikwa na John Heche kwenye X (Twitter) mwaka 2020 ukimuhusu Mbowe huu hapa

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Ujumbe ulioandikwa na John Heche kwenye Twitter. mwaka 2020 ukimuhusu Mbowe. Huu hapa ni ujumbe wake:

Kamati kuu yetu ina wajumbe 35. Kila anayehamahama au kufukuzwa anamshambulia Mbowe, maamuzi ya cc yanaitwa ya Mbowe. Ni mkakati piga mchungaji kondoo watawanyike. Akihama mtu hata kwenye kitongoji anakaririshwa namna ya kusema.
GhVvONuWUAE526v.jpeg
 
Jambo la miaka zaidi minne iliyopita unaileta.

Leo wale ambao baada ya kifo cha Rais John Magufuli mwaka 2021 waliokuwa wanapinga Samia Hassan asirithi nafasi ya Urais bado wana msimamo ule ule?
Alilewa?
 
Ujumbe wa 2020!!??
Wewe jamaa tofauti yako na ibilisi shetani ni sawa na unene wa makali ya wembe!!
Wewe ni tapeli kuliko kawaida.

Unastahili kupigwa mawe hadi ufe.
Matusi ya nini? Yeye anafanya nini sasa kama sio hayo hayo?
 
hivi huyo jamaa ameacha kubeti au bado anaendelea, maana namuona kachoka halafu mnyonge.

Yuko sawa kweli? :BASED:
Kubeti ndiyo maisha yetu watanzania yaliyosababishwa na CCM kuwepo madarakani.

Hata huyo Malaria 2 mwenyewe alibeti kuweka tweet ya zamani kuona kama watu watadhani ni ujumbe wa Sasa😆😃😄

Wale waliobeti kuiba Hela za Tegeta Escrow mkeka wao ukatiki, wakagawana hela zetu kwenye mifuko ya Sandarusi.

Jakaya Kikwete akiwa rais, akabeti aone akisema Hela za Tegeta Escrow si za umma watanzania watasemaje, aliposema wabongo wakambishia, mkeka wake ukachanika.

Bila ya CCM kuondoka madarakani watanzania watendelea kuishi maisha ya kubeti siku zote.

Hapa nimebeti kuwa Leo nchi nzima hakuna hata sehemu Moja Tanesco watakata umeme.
 
Ujumbe huu
So what? Post ya 2020 unatuwekea ili iweje? Malaria imeshapanda utosini. Naona unajitahidi kweli kwenye kampeni ya kuleta mpasuko ili mvune wanachama Katibu Mkuu wako kaeleza wazi ndiyo nimeelewa kwa nini umepiga kambi kwenye kampeni za uchaguzi wa Chadema. Ukweli wenyewe Chadema itaendelea kuwa imara zaidi kama kuna watakao ondoka ni wache sana msitegemee kama mlivyookota dodo baada ya CUF kupasuka .
 
Back
Top Bottom