REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Inasemekana hata wale watoto siyo wake ni WA marehemu eti wanasema😂😂 masanja lazima awe chizi kw amda hili ni tukio baya sana kisaikolojiaUsikute masanja hana nguvu za kiume !! Jiulize mkewe mpaka anaamua kugawa penzi nje , ni nini alikosa kwa masanja? Pesa ipo, anakula vizuri,analala vizuri, hajui nyumba ya kupanga,usafiri mkali kanunuliwa ,nguo za bei kali n.k?? Nini alikosa kama sio mjegeje?
Naona ame-cement ndoa yake (kwa sauti ya mZiLaNkeNdE)
MKIAMBIWA MSIOE huwa hamsikiiDah jamaa yupo zake kapunga ,mbarali huko kwenye majaruba ya mpunga , huku muhuni anajilia vyake tu.
Wanawake shkamooni ,mamaeeee
Yawezekana ni Moja masharti ya huo uchungaji wa mwendokasi alioupataUsikute masanja hana nguvu za kiume !! Jiulize mkewe mpaka anaamua kugawa penzi nje , ni nini alikosa kwa masanja? Pesa ipo, anakula vizuri,analala vizuri, hajui nyumba ya kupanga,usafiri mkali kanunuliwa ,nguo za bei kali n.k?? Nini alikosa kama sio mjegeje?
Mimi nikiwa na Monica wangu wa JF tukiwa tunafuatilia huu uzi kwa shock[emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2374760
Masanja mkandamizaji katombewa mke?Masanja akiwa royo tua wife alikua royo mutombo...
Inaonekana katibu alipewa yote akamwaga ubongo kama asemavyo mzabzab
Wekeni picha ya huyo mrembo basiUsikute masanja hana nguvu za kiume !! Jiulize mkewe mpaka anaamua kugawa penzi nje , ni nini alikosa kwa masanja? Pesa ipo, anakula vizuri,analala vizuri, hajui nyumba ya kupanga,usafiri mkali kanunuliwa ,nguo za bei kali n.k?? Nini alikosa kama sio mjegeje?
Embu tupe mkasa mzima wacha kutupa kwa mafungu.Usikute masanja hana nguvu za kiume !! Jiulize mkewe mpaka anaamua kugawa penzi nje , ni nini alikosa kwa masanja? Pesa ipo, anakula vizuri,analala vizuri, hajui nyumba ya kupanga,usafiri mkali kanunuliwa ,nguo za bei kali n.k?? Nini alikosa kama sio mjegeje?
Mwenye picha ya mke wa Masanja aweke hapa
Mweee...tatizo watu awataki ukweli kiwa binadamu hatujaumbiwa kutulia na mtu mmojaYaani anavyojisifiaga na nkewe .Yaani watu wanaojianika huku mitandaoni kuwa wanapendana ni uongo mtupu.Reality nyuma ya pazia ni machozi tu. Refer Emmanuel na Flora Mbasha. Kuna interview yao moja walisema wana hadi bank account moja. Kumbe kiukweli ndoa yao ilikuwa machungu tu.
Nini solution ya hili tatizo mkuu?Hakuna kanuni ya kumtuliza mwnamke hawa watu mara nyingi huwa wanapagawa zaidi na kile ambacho mwanaume wake hana na ukweli ni kwamba hakuna binadamu mwenye kila kitu.. ukiwa na kazi utagongewa na jobless ukiwa jobless utagongewa na mwenye kazi, ukiwa mfupi utagongewa na mrefu ukiwa mrefu utagongewa na mfupi, ukiwa na pesa utagongewa na masikini ukiwa masikini utagongewa na mwenye pesa, ukiwa maarufu utagongewa na ambae sio maarufu usipokua maarufu utagongewa na mtu maarufu, ukiwa na kitambi utagongewa na mwenye six pscks ukiwa na six packs utagongewa na mwenye kitambi