Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

KWA ZAMA ZETU HIZI, WENGI WANAISHI NA WAKE ZA WENGINE
karibia wote. ukishaoa mwanamke asiye bikira wewe useme tu ni zamu yako sasa, huyo si mkeo ni mke wa mtu
 
Hayo ma-wallpaper tu ya Kariakoo, kazi ya ma interior designer wa kibongo

[emoji28][emoji28][emoji28] kazi kweli kweli
Hivi huu ubuyu Mbona Kama haukamiliki jamani?
 
MUNGU wa mbingun awavushe ktk kpindi hchi kigumuu,naami masanja ataomba nalo hilii litapitaa.
 
Hapa sasa nmeamin ile kauli ya siwez kuish bila wewe duu yan mshkaji inaonekana aliumia kichiz
 
Mijitu kama hii ni kuyakuipeka kwa mwambosa aifufue , tuitie bakora then ife tena...ikale adhabu za maana motoni huko...
Kama alimwandikia huyo Monica ili asije kuiona mitandaoni kwa mara ya kwanza, so nani kavujisha.
Je ni Monica?

Huu ni uzushi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…