King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Masanja kila leo USA halafu anasafiri peke yake. Ndo maana anachapiwa mkewe. Monaco itakuwa kapata mwingine wa kumkuna ndo maana akamwaga katibu eti kisa kaoa. R.I.P katibu.
Naona kaamua kumkomesha huyo mwanamke ili nae asihiish kwa furaha lakin hiki kimama kilionekana kijanja kijanja toka tulipokijuaHatari sana Sasa katibu si angeondoka kimya kimya Ndio nini kuharibiana
trueMasanja kila leo USA halafu anasafiri peke yake. Ndo maana anachapiwa mkewe. Monaco itakuwa kapata mwingine wa kumkuna ndo maana akamwaga katibu eti kisa kaoa. R.I.P katibu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kijana alijua akioa mama mchungaji Monica atahudumia yeye na mkewe gafla kashanga mama mchungaji ahudumii amkatii ten avitambaa vya kushona suriali hampi vi elfu kumi kumi
Unazani utafanyaje una mke anaitaji matunzo na wewe umezoea tuzwa 😂😂 kaona isiwe taabu ngoja nipumzike kwa amani
Ndugu hebu itume Tena hayasomekiNasikia ndugu zake marehemu wamegoma adi kuweka msiba wajomba ndo wameamua kubeba mwili wauzike juu kwa juu
Hakuna kanuni ya kumtuliza mwnamke hawa watu mara nyingi huwa wanapagawa zaidi na kile ambacho mwanaume wake hana na ukweli ni kwamba hakuna binadamu mwenye kila kitu.. ukiwa na kazi utagongewa na jobless ukiwa jobless utagongewa na mwenye kazi, ukiwa mfupi utagongewa na mrefu ukiwa mrefu utagongewa na mfupi, ukiwa na pesa utagongewa na masikini ukiwa masikini utagongewa na mwenye pesa, ukiwa maarufu utagongewa na ambae sio maarufu usipokua maarufu utagongewa na mtu maarufu, ukiwa na kitambi utagongewa na mwenye six pscks ukiwa na six packs utagongewa na mwenye kitambiKuna watu huwa wanasema ukiwa na pesa pia na umaarufu ndani yake mke wako hawezi chepuka. Asa imekuwaje jambo hilo kwenda tofauti ?
[emoji1][emoji1][emoji119][emoji119][emoji2297][emoji2297]Hakuna kanuni ya kumtuliza mwnamke hawa watu mara nyingi huwa wanapagawa zaidi na kile ambacho mwanaume wake hana na ukweli ni kwamba hakuna binadamu mwenye kila kitu.. ukiwa na kazi utagongewa na jobless ukiwa jobless utagongewa na mwenye kazi, ukiwa mfupi utagongewa na mrefu ukiwa mrefu utagongewa na mfupi, ukiwa na pesa utagongewa na masikini ukiwa masikini utagongewa na mwenye pesa, ukiwa maarufu utagongewa na ambae sio maarufu usipokua maarufu utagongewa na mtu maarufu, ukiwa na kitambi utagongewa na mwenye six pscks ukiwa na six packs utagongewa na mwenye kitambi
Penye uhaba ndipo penye kushawishiwa.Hakuna kanuni ya kumtuliza mwnamke hawa watu mara nyingi huwa wanapagawa zaidi na kile ambacho mwanaume wake hana na ukweli ni kwamba hakuna binadamu mwenye kila kitu.. ukiwa na kazi utagongewa na jobless ukiwa jobless utagongewa na mwenye kazi, ukiwa mfupi utagongewa na mrefu ukiwa mrefu utagongewa na mfupi, ukiwa na pesa utagongewa na masikini ukiwa masikini utagongewa na mwenye pesa, ukiwa maarufu utagongewa na ambae sio maarufu usipokua maarufu utagongewa na mtu maarufu, ukiwa na kitambi utagongewa na mwenye six pscks ukiwa na six packs utagongewa na mwenye kitambi