Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Huwezi jua huko ndani. Ikute huko Ndani Masanja ni katili sana. Halafu Masanja huwa anasafiri sana. Ikute pia yeye Masanja ana michepuko mingi.
Lete Maneno....
By JK Wa Msoga Chalinze Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi jua huko ndani. Ikute huko Ndani Masanja ni katili sana. Halafu Masanja huwa anasafiri sana. Ikute pia yeye Masanja ana michepuko mingi.
Hii post siioni tena kwenye insta yake
Huwezi jua huko ndani. Ikute huko Ndani Masanja ni katili sana. Halafu Masanja huwa anasafiri sana. Ikute pia yeye Masanja ana michepuko mingi.
Katibu kazingua kwakweli.Hatari sana Sasa katibu si angeondoka kimya kimya Ndio nini kuharibiana
Mwenzetu umekuwa mpumbavu?Akili za mwanamke mmoja znatufanya wengne tuwe wapumbavu ..ee Mola tunusuru.
Monica atakwenda msibani?Mara kadhaa tumeshauriwa Kuchunguza wake zetu mienendo yao, Hali sio nzuri kila sehemu watu wanagegedana sio mchezo. Chini hapa ni ujumbe wa kijana aliyekua anatoka kimapenzi na bibie monica ambae ni mke wa Masanja;
"...UJUMBE wangu wa Mwisho kwako MONICA
Asante Kwa kunipenda Kipindi chote hakika umenipa Upendo ambao umeacha alama moyoni mwangu ambao kila nikijaribu kuifuta nimeshindwa sioni upendo wako wa Mwanzo hivyo nimebaki Kuumia MOYONI kwa kukosa
REAL LOVE FROM YOU. MONICA Ulinipenda sana na Kuniahidi kutoniacha siku zote na Ahadi zako nilizipokea MOYONI Nami Kukuahidi Kukupenda sana na hii ndo INANIUMIZA SANA MONICA Asante kwa PENZI LAKO ambalo halijawahi kutoka MOYONI MWANGU[emoji24] SIONI TENA HAJA YA KUISHI KWENYE HII DUNIA
BILA PENZI LAKO NASEMA SIWEZI[emoji24]
MONICA SAMAHANI kwa MAAMUZI nitakayo yafanya NAJUA uamini kama naweza kufanya hivi kwa sababu ya PENZI Lako BUT NAOMBA upelewe kua umefanya nione THAMANI YA MAPENZI katika huu ULIMWENGU kupitia wewe so SIWEZI KUISHI BILA PENZI LAKO,
SIONI TENA MAANA YA MAISHA [emoji24]. MONICA, Inawezekana huu ni UJUMBE WANGU wa Mwisho kwako pia acha DUNIA nzima itambue kua nakupenda sana MONICA na nimeshindwa kuishi bila WEWE.
Najua Familia yangu, Marafiki zangu na Mama yangu mzazi UTAUMIA juu ya hili lakini nisamehe sana Mama YANGU [emoji24]. Naju Unanipenda na Mimi nakupenda Mama.
MONICA NAKUPENDA SANA and I'll miss you so much. YOUR LOVE, YOUR TIME AND YOUR MOMENT [emoji3590] Bye KIOSHO.
KULIKO UKAONA UJUMBE HUU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII BORA NIKUTUMIE WEWE, Uje yaliyo moyoni Mwangu na ukiweza kunitibu kwa ule upendo wako wa kwanza nitakua mzima ila ukipuuzia hii basi UTANIPOTEZA na huu ndio utakua UJUMBE WA MWISHO KWANGU.
Ipo tena kapost post ingine ya ibada ya leo kanisani kwake sema kafunga commentsHii post siioni tena kwenye insta yake
Jambo kama hili kwa mwanaume ni fedheha kubwa kuliko mwanaume akijulikana na mkewe kachepuka......na mara nyingi wanaume hawako tayari kukubaliana na hali hiyo, kaeni mkilijua hilo kichwani.Kamuharibia mwenzie
Mapenzi gani hayo sasa.
Sijui masanja ana hali gani
Comment kubwa sana hiiHakuna kanuni ya kumtuliza mwnamke hawa watu mara nyingi huwa wanapagawa zaidi na kile ambacho mwanaume wake hana na ukweli ni kwamba hakuna binadamu mwenye kila kitu.. ukiwa na kazi utagongewa na jobless ukiwa jobless utagongewa na mwenye kazi, ukiwa mfupi utagongewa na mrefu ukiwa mrefu utagongewa na mfupi, ukiwa na pesa utagongewa na masikini ukiwa masikini utagongewa na mwenye pesa, ukiwa maarufu utagongewa na ambae sio maarufu usipokua maarufu utagongewa na mtu maarufu, ukiwa na kitambi utagongewa na mwenye six pscks ukiwa na six packs utagongewa na mwenye kitambi
Umeongea kikubwaSana Mkuu maana nakumbuka hata mie ulishawahinipata nilienda kutafuta nikawa mbali na mke wangu huku nyuma akaanza kufanya yake nakijana mmoja hapo sikubahatika kumuona lakini nilikuja kujua baada ya yule kijana kuposti mke wangu Facebook akidai usingizi wake na mie baada ya kuona hivyo nikamuuliza yule kijana vipi mkeo au nini kijana akajibu ndio mke wangu ndipo nilianza kufuatilia zaidi kumbe yule kijana hajui kuwa huyo ni mke wa mtu na alishaambiwa tumeachana na ana mtoto mmoja wakati mke wangu ana watoto watatu na mtoto wa kwanza yuko la sita ajabu huyo kijana hakuelewa lolote, mie kistaarabu niliamua kumwambia kijana achana na mke wangu maana mie sipo tayari kuwatafutia mama mwingine wanangu kisa wewe ajabu yule kijana hakuwa na adabu alianza kurusha matusi hakika iliniuma sana ndio maana vijana wanaangamia kizembe mtu akikusihi kuachana na mke wake anakutaka mema huenda na yeye ashatambua kosa lipo pahala gani, vijana tuwe makini maana hata mie wake za watu nishatumia sana tu hivyo sioni ajabu nikisikia unampiga wangu kikubwa nisijue "Utaumia "
Mbona tunajua tangu enzi za mababuJambo kama hili kwa mwanaume ni fedheha kubwa kuliko mwanaume akijulikana na mkewe kachepuka......na mara nyingi wanaume hawako tayari kukubaliana na hali hiyo, kaeni mkilijua hilo kichwani.
Kako vere sweet
Umeongea kibaharia sana bigup mlezi wa wanaSana Mkuu maana nakumbuka hata mie ulishawahinipata nilienda kutafuta nikawa mbali na mke wangu huku nyuma akaanza kufanya yake nakijana mmoja hapo sikubahatika kumuona lakini nilikuja kujua baada ya yule kijana kuposti mke wangu Facebook akidai usingizi wake na mie baada ya kuona hivyo nikamuuliza yule kijana vipi mkeo au nini kijana akajibu ndio mke wangu ndipo nilianza kufuatilia zaidi kumbe yule kijana hajui kuwa huyo ni mke wa mtu na alishaambiwa tumeachana na ana mtoto mmoja wakati mke wangu ana watoto watatu na mtoto wa kwanza yuko la sita ajabu huyo kijana hakuelewa lolote, mie kistaarabu niliamua kumwambia kijana achana na mke wangu maana mie sipo tayari kuwatafutia mama mwingine wanangu kisa wewe ajabu yule kijana hakuwa na adabu alianza kurusha matusi hakika iliniuma sana ndio maana vijana wanaangamia kizembe mtu akikusihi kuachana na mke wake anakutaka mema huenda na yeye ashatambua kosa lipo pahala gani, vijana tuwe makini maana hata mie wake za watu nishatumia sana tu hivyo sioni ajabu nikisikia unampiga wangu kikubwa nisijue "Utaumia "
[emoji28][emoji28][emoji16][emoji3578]Hakuna kanuni ya kumtuliza mwnamke hawa watu mara nyingi huwa wanapagawa zaidi na kile ambacho mwanaume wake hana na ukweli ni kwamba hakuna binadamu mwenye kila kitu.. ukiwa na kazi utagongewa na jobless ukiwa jobless utagongewa na mwenye kazi, ukiwa mfupi utagongewa na mrefu ukiwa mrefu utagongewa na mfupi, ukiwa na pesa utagongewa na masikini ukiwa masikini utagongewa na mwenye pesa, ukiwa maarufu utagongewa na ambae sio maarufu usipokua maarufu utagongewa na mtu maarufu, ukiwa na kitambi utagongewa na mwenye six pscks ukiwa na six packs utagongewa na mwenye kitambi
Mi nataka picha ya marehemu katibuWekeni picha ya huyo mrembo basi