Ujumbe wa Dr. John Karugia: Watanzania lindeni sana rasilimali zenu

Hakika tuko pamoja.
 
Rais ni nembo ya Nchi, mpumbavu mmja hawezi mdahalilisha
 
Mkuu., punguzeni JAZIBA maana kama watawala hawatauelewa UMMA, nina uhakika Taifa litaingia hatua ngum sana. Huwa hamuoni maandamano yenye nguvu naamini mtayaona, nayanaweza kumtoa mtawala kwenye kiti.
 
Mkristo huyu lazima apinge waarabu kuwekeza bandarini, anajua magari na vifaa vyao havitapita bure tena kwa msamaha wa kanisa.
Kwa hiyo hata kazi ya kukusanya mapato ya kodi ya forodha (TRA) mtawapa hao DPW!!
Maana wanaotoa msamaha ni TRA na si TPA.
Rudi ukasome elimu dunia japo kidogo ili usiitie aibu familia yako na taifa jwa ujumla kwa kuwekeza nguvu nyingi kwenye elimu ahera ambayo ni utapeli mtupu.
 
Mkuu., punguzeni JAZIBA maana kama watawala hawatauelewa UMMA, nina uhakika Taifa litaingia hatua ngum sana. Huwa hamuoni maandamano yenye nguvu naamini mtayaona, nayanaweza kumtoa mtawala kwenye kiti.
Yaleteni au mnadanganyana humu mitandaoni? Na wewe utakuwepo au Kuna mtu unasubiria aende Kwa niaba Yako?
 
Rais ni nembo ya Nchi, mpumbavu mmja hawezi mdahalilisha
Hata mimi sipendi kudhalilishana, sio Rais tu hata mtu mwingine si vema kudhalilishana. Shida yangu ni pale unapondhalilisha yule unayeamini anadhalilisha wengine. Please, tuwe kind ila hasira zetu zionekane wazi katika yale tusiyoyapenda. Mimi naamini asiyekosea ni MUNGU tu! Wengine wote pasi na kujali ni kina nani, tunakosea na kwa mtazamo wangu hata katika hili Rais AMEKOSEA.... Kwanza kasema amezima masikio... (Maana yake hayupo tayari kusikiliza) hiki ni KIBURI! (viongozi wengi wa kiafrika wapo hivi), hata kama hutaki kusikiliza wengine ila si busara kusema NIMEZIBA MASIKIO! Sasa tumuambie nani ili hali NCHI tumempa yeye!
 
Yaleteni au mnadanganyana humu mitandaoni?
Sawa., kama hujuwi kaa ukijuwa hata hilo Jeshi mnalojivunia litakaa pembeni nakusikiliza amri ya Jeshi la Wananchi linasemaje, msione limekaa kimya mkajuwa halioni na linafurahia hayo madudu yanayofanyika.
 
Taasisi zipo ili kutoa ufafanuzi katika hili jambo, wanaweza kulikataa ama kulikubali; kama ziko 'inactive', wewe kama 'individual' unataka nini cha zaidi; pambania familia yako tu, maisha ni mafupi haya.​
Wizi na ufisadi ndio chanzo cha huduma mbovu shule hazijengwi wanafunzi wanasomea chini ya mti, wajawazito kujifungulia chini mahospitalini hakuna dawa tatizo kwa sababu ya walafi wachache kuingia mikataba mibofu kwa lengo la kujinufaisha wao na familia zao na ndugu jamaa na marafiki.
 
Rais ni nembo ya Nchi, mpumbavu mmja hawezi mdahalilisha
Mtazamo wako kuhusu hili ni wa hovyo kipumbavu na kijinga na kichonganishi

Wanancho 90% ukiondoa wale tunaodhani wamekula cha mwarabu, wanahoji kuhusu ubovu wa mkataba, na katika hili viongozi wengi wameanza kuwasikiliza wananchi, wewe unaita udhalirishaji kwa Rais mambo ambayo ni hatima ya nchi yetu kikiwepo na kiti hicho?

Kwa nini ccm wengi akili hamnazo?
 
Na wajerumani huwa wanapiga sana pesa za umma ??!!
 
Sheria zipo kwa yeyote anayezivunja nendeni mahakamani kama una ushahidi wa hayo matusi, kinyume na hilo ni malalamiko.
 

Ndg yetu jiran yetu Mkenya, tunashukuru nawe kuchangia katika suala la Bandari zetu za Tanganyika. Hila kuna wale Chawa wabwatukaji watakwambia wewe hayakuhusu, wewe ni Sukuma gengi na mengi mengineyo. Huku kwetu tumeamua sio kumpa kwa 100% ila tumempa kila kitu, uhuru wetu na mamlaka ya kufanya chochote akitakacho pasipo kuhingiliwa na yeyote hata serikali. Na hata hivyo anachukua maeneo yote yanye kuzungukwa na maji kwa maisha yote labda Bahari, Maziwa na Mito vikauke ndo ataondoka lah mpk akirudi mkombozi wetu YESU KRISTO siku ya kiyama. Sijui ni uMangungo wa kihasi gani sijui kwa kweli.
 
Lini Serikali ilianza kuchukua maoni ya wananchi juu ya sakata hili?! Bunge ambapo ni jicho la wananchi nalo limekuwa tepetepe mbele ya Mwarabu hayo maoni yalichukuliwa kwa njia gani?! Acheni kudanganya wananchi kama watoto wadogo. Kwanza utachukuaje maoni baada ya kusaini mkataba?
 
We jamaa umeamua kuwasigina ccm wenzako😆😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…