Ujumbe wa Feisal Baada ya Kushindwa Kesi dhidi ya Yanga

Asisahau kwamba "wakati ni ukuta hauwezi ukashindana nao",ningekuwa mimi ningejishusha tu maisha yaendelee kuliko hivi kusumbuana miezi ikisogea hatma ikiwa haijulikani.

Hao yanga watamtia njaa huyo mtoto akija kushtuka atakuta amebaki na hela ya kununulia mtumbwi wa uvuvi tena ule manual akavulie Kasa huko kwao Pemba.
 
Jinga sana huyo...
Ila sio fair kabisa kwamba Lazarus Kambole na Herritier Makambo wamezidi mshahara Feisal. Siyo fair hata kidogo. Kwanini wazawa wanaradharauliwa hivi?

Pale Msimbazi inabidi Mzamiru naye alianzishe. Haiwezekani Sawadogo awe na mshahara mkubwa vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…