Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Sasa si wamuache akajifunze adabu huko mbeleni.Wangekua wanamlilia hata timu ingeshapotea...... Kikubwa kufundishana adabu liwe funzo na kwa wengine wenye mawazo hayo
Yanga hawajiamini na wanajua kabisa hawana uwezo wa kupata replacement.
Timu kubwa Huwa hazipambani na wachezaji wadogo wadogo kama Feisal.