Ujumbe wa Feisal Baada ya Kushindwa Kesi dhidi ya Yanga

Ujumbe wa Feisal Baada ya Kushindwa Kesi dhidi ya Yanga

Wangekua wanamlilia hata timu ingeshapotea...... Kikubwa kufundishana adabu liwe funzo na kwa wengine wenye mawazo hayo
Sasa si wamuache akajifunze adabu huko mbeleni.

Yanga hawajiamini na wanajua kabisa hawana uwezo wa kupata replacement.

Timu kubwa Huwa hazipambani na wachezaji wadogo wadogo kama Feisal.
 
Sasa si wamuache akajifunze adabu huko mbeleni.

Yanga hawajiamini na wanajua kabisa hawana uwezo wa kupata replacement.

Timu kubwa Huwa hazipambani na wachezaji wadogo wadogo kama Feisal.
Kwani tokea agome kucheza Yanga wamepoteza kitu gani? Yanga anatetea haki yake sababu kawekeza hela yake.
 
Sasa si wamuache akajifunze adabu huko mbeleni.

Yanga hawajiamini na wanajua kabisa hawana uwezo wa kupata replacement.

Timu kubwa Huwa hazipambani na wachezaji wadogo wadogo kama Feisal.
Anaanza kufunzwa hapahapa ngoja arudi atandikwe fine halafu hao wanaomtaka wamlipie waonyeshe upendo
 
Ila sio fair kabisa kwamba Lazarus Kambole na Herritier Makambo wamezidi mshahara Feisal. Siyo fair hata kidogo. Kwanini wazawa wanaradharauliwa hivi?

Pale Msimbazi inabidi Mzamiru naye alianzishe. Haiwezekani Sawadogo awe na mshahara mkubwa vile.
Power of negations.
 
Sasa si wamuache akajifunze adabu huko mbeleni.

Yanga hawajiamini na wanajua kabisa hawana uwezo wa kupata replacement.

Timu kubwa Huwa hazipambani na wachezaji wadogo wadogo kama Feisal.
Una fikiri kutumia nini kufikiri?, Yaani yanga waache haki yao ipotee kisa isionekana kuwa timu ndogo?.Puuzi kabisa wewe.
 
Yanga ni timu ndogo sana.

Wanamlilia mchezaji .moja tu namna hiyo??
Hawamlilii mchezaji bali wanataka afuate taratibu za kuvunja mkataba.

Wakimwachia kienyeji, kesho wakatokea wengine wenye madai ya kipuuzi kama huyu si itakuwa vurugu?!
 
Asisahau kwamba "wakati ni ukuta hauwezi ukashindana nao",ningekuwa mimi ningejishusha tu maisha yaendelee kuliko hivi kusumbuana miezi ikisogea hatma ikiwa haijulikani.

Hao yanga watamtia njaa huyo mtoto akija kushtuka atakuta amebaki na hela ya kununulia mtumbwi wa uvuvi tena ule manual akavulie Kasa huko kwao Pemba.
Ningeita Press Moja matata niombe msamaha mkubwa hadi kupiga magoti mpira wa faida unachezwa miaka 8 mpaka 10 tu
 
Hawamlilii mchezaji bali wanataka afuate taratibu za kuvunja mkataba.

Wakimwachia kienyeji, kesho wakatokea wengine wenye madai ya kipuuzi kama huyu so itakuwa vurugu?!
Vurugu Gani mtu kudai haki yake??

Huyo ni binadamu ana haki ya kufanya akipendacho sio mtumwa wa mtu.

Yanga wanachofanya ni kukiuka haki za binadamu.

Ni ubinafsi tu wa hao viongozi.

Jiweke wewe kwenye viatu vyake uyasikie maumivu yake.
 
Sasa si wamuache akajifunze adabu huko mbeleni.

Yanga hawajiamini na wanajua kabisa hawana uwezo wa kupata replacement.

Timu kubwa Huwa hazipambani na wachezaji wadogo wadogo kama Feisal.
Eti hawana uwezo wa kupata Replacement,bila Fei timu imepata mafanikio kibao yanayowaumiza nyie wabimba macho, replacement zake zipo kibao mpaka namba zimekuwa za kugombania siku hizi Mudathir Yahya yupo on fire,Sure boy yupo on fire,Farid Musa yupo on fire yaani kiufupi kuanzia dimbani mpaka mbele hata aje leo Fei hampigi benchi yeyote pale Yanga
 
Vurugu Gani mtu kudai haki yake??

Huyo ni binadamu ana haki ya kufanya akipendacho sio mtumwa wa mtu.

Yanga wanachofanya ni kukiuka haki za binadamu.

Ni ubinafsi tu wa hao viongozi.

Jiweke wewe kwenye viatu vyake uyasikie maumivu yake.
Mkuu sijui kama umeajiri au umeajiriwa.
Lakini kwa vyo vyote vile kuna taratibu ambazo zinaongoza.
 
... Kwanini wazawa wanaradharauliwa hivi?
Mkataba, mkataba, mkataba, sijui issue ya mkataba yunaifaham au ukiambiwa tutakulipa 500/- unasaini baada ya miezi unarudi kusema 500/- ndogo sitaki?.

Alafu dogo kaaandika "Siku ya heshima kwa wazawa Yaja" so tusubiri labda ataleta mapinduzi ambayo yeye atakuwa njia kwa wengine!.
 
Shule ni kitu muhimu sana.
Hiyo kauli ya "Siku ya heshima kwa wazawa yaja" ina ujumbe gani kwa wachezaji wa kigeni wa timu atakayojiunga nayo baada ya kumalizana na Uto.
Haoni kama anajitengenezea tabaka litakalosababisha kukosa ushirikiano au anadhani timu atakayocheza itakuwa ya wazawa watupu?
Kijana wa watu naona anataka kuwa kama ng'ombe alievishwa shemere, wanampelekesha tu kama wanavyojisikia.
 
Back
Top Bottom