Ujumbe wa Feisal Baada ya Kushindwa Kesi dhidi ya Yanga

Kasa wenyewe wanasumu
 
Hata Kwenye maisha ya kawaida kuna mungine ana gorofa mungine ana kibanda, wewe mwenye kibanda ukianza kuhoji kwanini Ana gorofa ni uchawi na wivu , sana sana labda uombe ushauri namna ya kutoboa
 
Dogo huyo anataka kuvunja mkataba na Bado Sheria ya FIFA inambana na isitoshe kuvunja mkataba itaitajika yeye na yanga na sio wakili wake asimame Sasa hapo atawezaje na huku nyumba ameshayakanyaga
Sheria gani ambayo inambana?
 
Mkataba wa Feisal uko wazi kuvunja itakuwa ni ngumu inabidi ajipange sana maana Sheria Bado inambana hapo wakukaa mezani kuvunja ni yeye na yanga na sio wakili wake kama anavyomtumia sahivi
Mkataba au sheria ndo inamkataza kutumia wakili? Hahaha
 
Yanga ni timu ndogo sana.

Wanamlilia mchezaji .moja tu namna hiyo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…