Ujumbe wa Leo: Wizi wa kura ni Chukizo kwa Mungu by Padre Kitima

wale wakatoliki feki waende tena wakamshitaki maana amezungumzia wizi wa kura.
 
Kanisa Katoliki limeendelea kuwa ni taasisi inayoheshimika Duniani kote kwa sababu ya kusimama katika ukweli wa Bwana. Siyo kama wale wengine, wakipewa tu ubwabwa, wanauliza, unataka tuseme ninj, akishaambiwa anaanza kuropoka.

Mungu wa kweli, Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, Mungu aliyefunuliwa kwetu na mwanaye mpendwa, Nafsi ya Mungu Pamoja nasi, tunamwomba sana , azidi kumjaza hekima, ujasiri na ukweli usiopinda padre Kitima na Kanisa zima kwa ujumla, ili wakati wite asimame katika kweli yake.
 
Kuiba kura ni dhambi kubwa sana, inashangaza sana Wakristu wanaoshiriki matendo hayo, hasa hasa Wakatoliki wanaoshiriki dhambi hiyo. Inashangaza sana!
 
Huyu mzee si aamue tu kuingia kwenye siasa tujue kuwa ni mwanasiasa na sio mtumishi wa Mungu.

Ili anapojibiwa apate treatment ya wanasiasa wenzake,

Na sio kujificha kwenye dini na kuzua taharuki kila anapotoa statement.
 
Kitima Sasa hivi amekuwa kama giggy money tu, vichambo Kila Leo. Hivi anapyambya kweli huyu?!!!
 
Huyu mzee si aamue tu kuingia kwenye siasa tujue kuwa ni mwanasiasa na sio mtumishi wa Mungu.

Ili anapojibiwa apate treatment ya wanasiasa wenzake,

Na sio kujificha kwenye dini na kuzua taharuki kila anapotoa statement.
Hii sio ya leo.

Lakini jibu hoja yake, akina Lisu mbona wanayasema hayo pia mnaishia kuwafunga.

Jibuni hoja zake, kama kweli hamuibi kura.
 
Yeye ni mtumishi wa Mungu kama kuna jambo lolote uwanja wake ni kwenye madhabahu.

Hizi podiums za kisiasa ni kuchanganya mambo na kutuchanganya sisi tunawategemea viongozi wa kidini watuongoze kiimani.

Yeye anaweza akaona anatumia uhuru wake ila misimamo yake kisiasa inaeweza wakwaza kondoo wake anaowaongoza.

Wakati nakua sikuwahi sikia kiongozi wa dini anafanya siasa.

Hawa wa sasa wanaona madhabahu haziwatoshi acha wajaribu na kwingine.

Ni vyema akachagua madhabahu au podiums za kisiasa.

Akibakia hivyo analeta taharuki ambazo hazina ulazima sana.
 
Dini na siasa havikai pamoja. Mbona sijasikia Wasabato au kkkt wakiwa bize na siasa kama hawa wakatoriki?
 
Yeye ni mtumishi wa Mungu kama kuna jambo lolote uwanja wake ni kwenye madhabahu.

Hizi podiums za kisiasa ni kuchanganya mambo na kutuchanganya sisi tunawategemea viongozi wa kidini watuongoze kiimani.

Yeye anaweza akaona anatumia uhuru wake ila misimamo yake kisiasa inaeweza wakwaza kondoo wake anaowaongoza.

Wakati nakua sikuwahi sikia kiongozi wa dini anafanya siasa.

Hawa wa sasa wanaona madhabahu haziwatoshi acha wajaribu na kwingine.

Ni vyema akachagua madhabahu au podiums za kisiasa.

Akibakia hivyo analeta taharuki ambazo hazina ulazima sana.
MKuu,

Kwani amekiombea kura chama fulani kuwa kitaleta maendeleo.?

Amekemea wizi wa kura, ambayo ni dhambi sawa na wizi wa mali nyingine.

Kura hazipigwi kwenye siasa tu, maeneo mengi zinatumika ili kufikia maamuzi fulani ya wengi.

Sasa ukiiba huoni kuwa unatenda kosa?
 
Hayo maneno kayazungumzia akiwa wapi?
 
***** huyu padri shoga mbona hatujamsikia kukemea uharibufu wa mali za nchi na watu binafsi uliofanywa na genge lake la waporaji 29?
 
Back
Top Bottom