Eh yamekua hayo tena!?Muda muchache uliopita Waziri mkuu wa Israel ametoa ujumbe mzito kwa Rais wa Ufaransa.
Asema Israel haitaji msaada wowote kutoka Ufaransa na itashinda vita.
Je Macron kafanya nini ,kilichomfanya Netanyahu kuchukia hivi?
View: https://x.com/netanyahu/status/1842631521070669937?t=haRCH8srVRASu35KYUur7A&s=19
Hawakurupuki,kinachofuata ni kuondoa kabisa huyo mfadhili wa magaidi.Huyu jamaa kashakua kama Pashkuna la Magomeni,maneno mengiiiii .Rudisha vyuma Tehran ,hatujakuzoea hivi (Bibi)
Maneno mengi kashakuwa huyu bwana Mkubwa.Hawakurupuki,kinachofuata ni kuondoa kabisa huyo mfadhili wa magaidi.
Nyau kasema Iran watalia maisha.
Huyu macron si ndyo alisema atapeleka jeshi ukraine wakaivamie Russia?Tatizo la Macron ni mwongeaji ukija kwenye vitendo ni zero
Iran atapigwa na kitu kizito itamchukua miaka 50 kuja kulipisa kisasi..Huyu jamaa kashakua kama Pashkuna la Magomeni,maneno mengiiiii .Rudisha vyuma Tehran ,hatujakuzoea hivi (Bibi)
Israel haiachwi mileleSiyo rahisi kihivyo kama unavyodhania, hata mateka wakiachiwa vita haitaisha, vita itaisha pale netanyahu atakapokosa support ya nchi za magharibi au kutolewa madarakani kwa namna yoyote ile
Akitoka sasa hivi possibly itakuwa mwisho wa safari yake ya kisiasa na ana case nyingi zinamsubiri, the only way akaendelea kuwa salama kisiasa ni through hizi vita
Ingawa kule kwa hezbollah ili apigane itabidu marekani aje in full, israel kama israel ataaibika
Na defence system yake aliyokuwa anatamba nayo imeonyesha udhaifu mkubwa na iran ameweza kupiga target zake successfully hii ni hatari sana kwa israel, itabidi afikirie mara mbili kuendelea na huu ugomvi na iran, ndio maana umeona katulia kwa sasa, ile message aliyotuma iran ina maana kubwa sana kwa mwenye akili
Muda muchache uliopita Waziri mkuu wa Israel ametoa ujumbe mzito kwa Rais wa Ufaransa.
Asema Israel haitaji msaada wowote kutoka Ufaransa na itashinda vita.
Je Macron kafanya nini ,kilichomfanya Netanyahu kuchukia hivi?
View: https://x.com/netanyahu/status/1842631521070669937?t=haRCH8srVRASu35KYUur7A&s=19
Jiulize kwani nini anawakoromea na anajiamini kwa lipi?Mtu anapewa silaha halafu anakoromea watoaji ..ashukuru hapo walilpomfikisha ..hamna mtu atakayemsikiliza maana busara kwake ni mtihana
Chizi mama yako mzazi kobazi wewe mtaisha nyau nyieeeeKachanganyikiwa huyu tayari anagombana na kila mtu, mara katibu mkuu wa united nations sasa hivi macron, huyu ni chizi ,hata waziri wake wa vita alijiuzulu baada ya kugundua jamaa ni kichaa na muongo
Na waziri wa ulinzi sasahivi hapatani nae kwa kuwa wote wamemshtukia huyu ni kichaa anatakiwa adhibitiwe
Manina netanyau kaanza kua kama zelensky wa UkraineMuda muchache uliopita Waziri mkuu wa Israel ametoa ujumbe mzito kwa Rais wa Ufaransa.
Asema Israel haitaji msaada wowote kutoka Ufaransa na itashinda vita.
Je Macron kafanya nini ,kilichomfanya Netanyahu kuchukia hivi?
View: https://x.com/netanyahu/status/1842631521070669937?t=haRCH8srVRASu35KYUur7A&s=19
Ustumie mda mwingi kuandika utumbo hapa..nyie ndo bendera fata upepo hata chanzo cha Vita hukijuiUN, NATO, Russia na China, Arabs wameshindwa kummaliza mgogoro ambao chanzo cha tatizo kinajulikana. Washinikize mateka waachiwe halafu Israel usimamishe vita mara moja, Ayatollah ametangaza lazima Israel iangamizwe, kwa mazingira hayo Israel italazimika kujilinda na kuna kupigana vita vikali sana, tunakoelekea maeneo ambayo Israel itachukua Gaza na Lebanoni hayatarudi tena.Al aqisa na yenyewe inaweza kubomolewa na myahudi
Tunaambiwa kususa ni sifa ya majemedari na makomandooWaziri mkuu wa taifa teule kasusa,, mungu wa Israel(marekani) atampa makombora
Hao wanaopigwa lengo ni kuua magaidi hata walio tumboni.Hii naona Sasa akili Zinamjia Netanyau, kama kweli Western countries wameanza kampeni asipewe silaha, maana yake wamemchoka.
Na nchi za West zinalumiwa na raia wao jamaa anaua Raia badala ya kupigana na anaowaita magaidi.
Juzi tumeona magaidi hawajaua raia hata mmoja badala yake wamepiga military bases, wameharibu miundombinu ya kijeshi. Netanyau anapiga maeneo ya raia na kuua wanawake na watoto, hapo gaidi ni yupi? Kwa nini wasimnyime silaha?
Suala La palestina ameambiwa two state solution hataki anataka makombora auwe wapalestina, kwa nini wasimnyime silaha?
Ufaransa haiipi wala kuiuzia Israel Silaha.nchi zote za magharibi zinamsaidia ila france,germany, uk na usa ndio wenye msaada mkubwa
Huyu jamaa kiburi ndicho kinachomuangusha.Muda muchache uliopita Waziri mkuu wa Israel ametoa ujumbe mzito kwa Rais wa Ufaransa.
Asema Israel haitaji msaada wowote kutoka Ufaransa na itashinda vita.
Je Macron kafanya nini ,kilichomfanya Netanyahu kuchukia hivi?
View: https://x.com/netanyahu/status/1842631521070669937?t=haRCH8srVRASu35KYUur7A&s=19
France ina msaada mkubwa tu Israel kijeshi na kiuchumi.Kwani U.S na UK ndo wanamsaidia Israel huyu macroni katokea wapi?
Ameshadata huyu ubishe ukubali.Pole, huyu sio SS!